Hai Wazindua Kampeni Kuchangisha Fedha Ujenzi wa Madarasa

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said mecky Sadiki akishiriki katika uchimbaji wa msingi kwa ajili ya ujenzi wa madarasa matatu katika shule ya msingi Msamadi ,uchimbaji ulioenda sanjari na uzinduzi rasmi wa kampeni ya kuchangia ujenzi wa vyumba vya madarasa katika wilaya ya Hai. Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanwa akishiriki kuchimba msingi kwa ajili ya ujenzi wa madarasa matatu katika …

Majeruhi ya Eric Bailly Yampa Wasiwasi Mourinho

Beki wa Manchester United anayetoka Ivory Coast Eric Bailly alipata jeraha mbaya ya goti wakati wa mechi ambayo timu yake ililazwa 4-0 na Chelsea jana Jumapili. Mchezaji huyo wa miaka 22 aliumia baada ya kukabiliana na Eden Hazard wa Chelsea.ALiondolewa uwanjani dakika ya 52. Bailly alikuwa amechezea United mechi zote walizocheza msimu huu ligini. Alijiunga nao kutoka klabu ya Villarreal …

Timu ya Mamelodi Sundowns Yatwaa Ubingwa wa Afrika

Klabu ya Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini imeshinda Kombe la Klabu Bingwa Afrika kwa mara ya kwanza baada ya kuwalaza Zamalek wa Misri kwa jumla ya mabao 3-1 kwenye fainali. Kwenye mechi ya marudiano ya fainali mjini Alexandria, Zamalek walipata ushindi wa 1-0 Jumapili lakini haukutosha kwani walikuwa wamelazwa 3-0 na Sundowns mechi ya kwanza mjini Atteridgeville Jumamosi wiki iliyopita. …

Wabunifu mitindo waonesha mavazi uzinduzi duka la maharusi

    Mkurugenzi Mtendaji wa jarida maarufu nchini la Bang ‘Bang Magazine’, Emelda Mwamanga (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa duka jipya kubwa la mavazi ya maharusi ‘Precious Wedding House’ lililozinduliwa jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni mmiliki wa duka hilo, Mary Monyo pamoja na Mwendeshaji wa duka la Precious Wedding House, Victoria Chuwa (kulia). Uzinduzi huo uliofanyika Sinza …

Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Afuta Mkutano

MWENYEKITI wa Yanga, Yussuf Manji ametii agizo la Mahakama kwa kuufuta Mkutano Mkuu wa dharula wa klabu ya Yanga uliopangwa kufanyika kesho makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana ilitoa katazo la kufanyika Mkutano wa kesho kufutia kesi iliyofunguliwa na baadhi ya wanachama wa klabu hiyo. Manji ametangaza kuufuta Mkutano …