Prof. Mbarawa Aitaka Bodi Mpya ya TAA Kusitisha Ajira za Upendeleo

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, ameitaka Bodi mpya ya Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) kusimamia Menejimenti ya Mamlaka hiyo katika Idara ya Utawala na Rasilimali watu ili kuhakikisha ajira zote zinazotolewa zinazingatia sifa na vigezo vya kuajiri. Akizungumza katika uzinduzi wa Bodi hiyo mpya jijini Dar es salaam pamoja na mambo mengine, Profesa Mbarawa …

Wadau waunga Mkono Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari

Benedict Liwenga- WHUSM WADAU wa Habari wameisifu Serikali kwa kuundaa na kuwasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Huduma za Jabari. Wamesema ni jambo ambalo lilikuwa limesubiriwa kwa muda mrefu tangu mchakato ulipoanza miaka ya 80 na baadaye kuzimika halafu na kurudi tena miaka ya hivi karibuni hususani mwaka juzi na mwaka jana 2015. Akiongea kupitia kituo kimoja cha cha Televisheni …

Rais Kenyatta Atengua Hukumu ya Vifo kwa Wafungwa 2,747

  WAFUNGWA wapatao 2,747 wa Kenya ambao walikuwa wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa sasa wamebadilishiwa adhabu na sasa hawata nyongwa tena. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Kenya wafungwa hao sasa watafungwa kifungo cha maisha badala ya kuuwawa. Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametengua hukumu hiyo ya kifo na sasa wafungwa hao 2,747 watatumikia hukumu ya kigungo cha maisha wakiwa gerezani. Wafungwa …

RC Mwanza Atoa Somo la Usalama Barabarani…!

  Baada ya Maadhimisho ya Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani kufanyika Kitaifa mkoani Geita kuanzia Septemba 29 hadi Oktoba Mosi Mwaka huu, Maadhimisho kama hayo kwa mkoa wa Mwanza yamezinduliwa hii leo kwenye Uwanja wa Furahisha Jijini Mwanza ambapo imeelezwa kwamba bado juhudi za kila mtumiaji wa barabara zinahitajika ili kutokomeza ajali za barabarani. Kamanda wa Kikosi cha usalama …

Fifa Yatoa Orodha ya Wachezaji Wanaogombea Ballon d’Or.

Mshambuliaji wa timu ya Wales Gareth Bale na mwenzake wa Real Madrid Cristiano Ronaldo wameorodheshwa kuwania taji la mchezaji bora duniani mwaka 2016 Ballon d’Or. Wachezaji wa Manchester City Sergio Aguerro na Kevin De Bruyne, pamoja na wachezaji wa Atletico Madrid Antoine Griezmann pia wako katika orodha hiyo. Gazeti la soka la Ufaransa limebaini orodha ya wachezaji 30 katika makundi …