Na Dotto Mwaibale WAMILIKI wa magari wametakiwa kuchukua tahadhari ya kuzima na kufunga milango magari yao pale wanaposimama kwa dharura kupata mahitaji mbalimbali ili kuyanusuru kuibwa. Mwito huo umetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Suzan Kaganda wakati akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam kuhusu tukio la kuibwa kwa gari la Kapteni …
Profesa Mbarawa Azinduwa Bodi ya Shirika la Posta Tanzania…!
Kaimu Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania, Fortunatus Kapinga, akizungumza kuhusu shirika hilo, kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa Bodi, Dk. Haruni Kondo, kuzungumza wakati wa uzinduzi wa bodi mpya ya shirika hilo jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk) Kaimu Posta Masta Mkuu wa Shirika la Posta, Fortunatus Kapinga, akizungumza kabla ya …
Zali la Farid Mussa Latiki Huko Deportivo
UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unapenda kuwataarifa wapenzi wa soka kuwa winga wao Farid Mussa, jana amepata kibali rasmi cha kufanya kazi nchini Hispania. Kwa muda mrefu Azam FC imekuwa ikisubiria kibali hicho ili mchezaji huyo akaanze maisha mapya ya soka nchini humo katika timu ya Deportivo Tenerife inayoshiriki Ligi Daraja la Kwanza. Kufuatia …
Manchester United Waisambaratisha City
Manchester United walifika hatua ya robo fainali katika Kombe la EFL baada ya kuwalaza mabingwa watetezi Manchester City kwenye debi iliyochezewa uwanja wa Old Trafford. Juan Mata alifunga bao la pekee mechi hiyo baada ya kupata mpira kutoka kwa mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic. Paul Pogba alikuwa amegonga mlingoti kwa kombora kali awali na kusisimua mechi hiyo kipindi cha pili. Kipindi cha …
Guardiola Amtaka Yaya Toure Amwombe Msamaha
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anamuhitaji kiungo wa kati Yaya Toure lakini bado anasubiri kuombwa Raia huyo wa Ivory Coast mwenye umri wa miaka 33,amecheza mara moja msimu huu,katika kombe la vilabu bingwa Baadaye aliwachwa nje katika kinyang’anyiro hicho.Dimitri Seluk alidai kuwa Toure amefedheheshwa na uamuzi huo. Alipoulizwa iwapo Toure angecheza katika kombe la ligi katika uwanja wa Old …