Dodoma Kushuhudia Ligi ya Wanawake

Uzinduzi wa Ligi ya Taifa ya Wanawake unatarajiwa kufanyika Novemba 1, 2016 kwenye Uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma katika mchezo ambao Baobao itacheza na Victoria Queens ya Kagera. Ligi hiyo ya kwanza kufanyika nchini Tanzania, lakini pia kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati imetokea kuvutia wadau kadhaa wakiwamo Azam Tv ambao wamedhamini kwa kuonyesha mubashari (live), michezo hiyo 30 …

Mourinho, Moyes Wapigwa Rungu na FA

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho ameshtakiwa na shirikisho la soka nchini Uingereza FA kwa kudai kwamba itakuwa vigumu kwa refa Anthony Taylor kusimamia mechi yao dhidi ya Liverpool. Mourinho aliongezeawamba kumteua Taylor kusimamia mechi hiyo ya tarehe 16 Oktoba ilimpatia shinikizo refa huyo mwenye makao yake Manchester. Mameneja hawaruhusiwa kuzungumzia kuhusu marefa kabla ya mechi. Mourinho ana hadi Oktoba …

Jumia Kutumia Miss Tanzania Kutangaza Utalii…!

  OKTOBA 29, 2016, wakazi wa Mwanza kwa mara ya kwanza watapata fursa ya kushuhudia msisimko wa mashindano ya ulimbwende ya Miss Tanzania ambapo washiriki 30 watapanda jukwaani kushindania nafasi ya kwenda kuiwakilisha nchi katika mashindano hayo ya dunia yatakayofanyika Disemba 18, 2016 jijini Washington DC, Marekani. Tukio hili litakalofanyika kwa mara ya kwanza mkoani humo litakuwa ni lenye msisimko …

Ujerumani Yachangia Milioni 12 Tamasha la Sauti za Busara

  Mwenyekiti wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said, akibadilishana mkataba na Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania Balozi  Egon Kochanke, baada kumaliza kutiliana saini ya makubaliano ya kuchangia Tamasha hilo kwa mwaka 2017, hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Park Hyyat Shangani Zanzibar.