Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe akiwapongeza washiriki waliomaliza kwa wastani mzuri wa muda, kulia kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Miraji Jumanne Mtaturu. Bi Zaibabu Ramadhani mwenye umri wa miaka 47 akiwasili Katika uwanja wa Shule ya Sekondari Ikungi kumalizia kilomita 21. Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhandisi Mathew Mtigumwe akisalimia na Felix Simbu kijana wa Kitanzania aliyeshika …
Wasomi 53 Wafyatua Matofali 45,000 Kujenga Mabweni…!
Vijana wasomi 53 wa grupu la Whatsapp la WAZALENDO wakikamilisha kufyatua matofali 45,000 kwa ajili ya mabweni matano na nyumba tano za walimu Shule ya Sekondari ya Nasibugani wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani, umbali wa kilomita 151 kutoka Dar es salaam, na kilomita 53 kutoka makao makuu ya Wilaya. Leo wamekutwa wakifanya kazi hiyo nzito huku wakihamasika kwa nyimbo …
BoT Yaitwaa Twiga Bancop, Yautumbua Uongozi…!
Mkurugenzi wa Usimamizi wa Mabenki, Kenedy Nyoni (kushoto), akichangia jambo kwenye mkutano huo. Kulia ni Gavana wa Benki Kuu, Profesa Beno Ndulu. Meneja Msaidizi Idara ya Uhusiano wa Umma na Itifaki wa BoT, Victoria Msina (kulia), akimkaribisha Gavana Beno Ndulu kuzungumza na wanahabari. Wa pili kutoka kulia ni Kaimu Katibu wa Benki, Mustafa Ismail. Na Dotto Mwaibale BENKI Kuu …
CCM ‘Yamkejeli’ Edward Lowassa…!
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Ndugu wanahabari, KWA muda sasa kumekuwepo na usambazaji wa taarifa za upotoshaji zinazotolewa na baadhi ya wanasiasa wakishirikiana na baadhi ya vyombo vya habari zinazolenga kukejeli, kudhihaki, kukatisha tamaa, kubeza na kudhoofisha jitihada zinazofanywa na Chama Cha Mapinduzi na Serikali zake katika kuleta maendeleo kwa Watanzania. Kumekuwepo na makala zinazoandikwa na magazeti mawili ya …
Sababu za Kuanzishwa Muswada wa Sheria za Huduma za Habari 2016
Na Daudi Manongi, MAELEZO SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo limefanya mchakato wa upatikanaji wa Sheria ya Huduma za Habari ambao umekuwa ni kilio kikubwa kwa wanahabari kwa zaidi ya miaka 20 na sasa uko mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Huduma za Jamii ukikaribisha maoni kutoka kwa wadau mbalimbali wa sekta ya Habari ambapo …
Kampuni ya TTCL, Huawei Wazinduwa Teknolojia ya 4.5G
Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, anayesimamia Sekta ya Mawasiliano, Profesa Faustine Kamuzora (katikati) akipiga makofi pamoja na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Bw. Waziri Waziri Kindamba (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa Huawei Tanzania, Bruth Zhang (kushoto) mara baada ya uzinduzi wa matumizi ya teknolojia ya 4.5G inayotolewa na Kampuni ya Huawei ambayo ni mshirika wa …