Bale Ajipiga Kitanzi Real Madrid Hadi 2022

Klabu ya Real Madrid imemsainisha mkataba mpya winga wake Gareth Bale na kumfanya aendelee kudumu klabuni hapo mpaka 2022. Bale mchezaji wa zamani wa Southampton alijiunga na klabu hiyo akitokea Tottenham Hotspur mwaka 2013. Tiyari ameisaidia Madrid kushinda vikombe vitano katika misimu mitatu ya nyuma ikiwemo ligi ya mabingwa Ulaya mara 2 huku akifunga magoli 62 katika michezo 135. Viungo …

Bondia Mashali Apigwa hadi Kufa na Watu Wasijulikana

BONDIA Christopher Fabian Mashale maarufu ‘Francis Mashali’ amefariki dunia baada ya kupigwa na watu ambao bado hawajajulikana usiku wa kuamkia leo. Taarifa zinasema kwamba mwili wa mbabe huyo aliyezaliwa Septemba 9 mwaka 1989, mwili wake umekutwa maeneo ya Tabata ukiwa na dalili za kupigwa. Promoka Siraj Kaike amesema taarifa alizonazo ni kwamba mwili wa marehemu kwa sasa upo hospitali ya …

Rais Magufuli Aelekea Kenya Ziara ya Siku Mbili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli, leo tarehe 31 Oktoba, 2016 ameondoka nchini kuelekea Nairobi nchini Kenya kwa ziara ya Kiserikali ya siku mbili nchini humo kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta. Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, Rais Magufuli ameagwa na viongozi mbalimbali wa serikali akiwemo …

Mchapalo wa SBL Kuadhimisha Miaka 20 ya Kuanzishwa

  Mkurugenzi Mkuu wa SBL Helene Weesie akitoa hotuba ya  ufunguzi kwa wageni waliohudhuria tafrija mchapalo ya maadhimisho ya miaka 20  tangu kuanzishwa kwa bia ya Serengeti Premium Lager (SPL)  mwaka 1996.Pia kulizinduliwa chapa mpya ya Bia hiyo  .hafla hiyo ilifanyika siku ya alhamisi  katikaHOTELI ya Hyatt Regency Jijini Dar es salaam

Rais Magufuli ‘Avamia’ Wizara ya Maliasili na Utalii…!

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, tarehe 29 Oktoba, 2016 amefanya ziara ya kushtukiza katika Ofisi za Wizara ya Maliasili na Utalii (Mpingo House) kwa lengo la kufuatilia utekelezaji wa operesheni ya kukabiliana na ujangili inayofanywa na Kikosi Kazi kilichoundwa na Wizara hiyo. Akiwa katika ofisi hizo Rais Magufuli aliyekuwa na Katibu Mkuu wa …