Madiwani Ileje Watumbua Watumishi wa Halmashauri…!

  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje, Haji Mnasi akiongea wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani. Na Fredy Mgunda, Ileje   BARAZA la Madiwani Wilayani Ileje limebariki kufutwa kazi kwa watumishi wawili wa Halmashauri hiyo kutokana na tuhuma za wizi wa mamillioni ya fedha za wafadhili za mradi wa UKIMWI wa Water Reed. Akizungumza wakati wa kufungwa kwa Baraza hilo Mwenyekiti wa …

Kenya Inaongoza Uwekezaji Tanzania – Rais Magufuli

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema Kenya ni nchi inayoongoza kwa uwekezaji nchini Tanzania ikilinganishwa na nchi nyingine za Bara la Afrika. Rais Magufuli amesema hayo leo tarehe 31 Oktoba, 2016 katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya ambako ameanza ziara ya Kiserikali ya siku mbili …

Watanzania Watakiwa Kutunza Mazingira

  Na Frank Shija, MAELEZO WATANZANIA watakiwa kufanya jitihada za makusudi katika suala zima la utunzaji wa mazingira ikiwa ni hatua za kukabiliana na athari za Mabadiliko ya Hali ya hewa na Tabia nchi. Rai hiyo imetolewa leo na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akifungua Tamasha la Kimataifa linalohusu Mabadiliko ya Tabia ya Nchi linalowakutanisha Wanasayansi, Watafiti …

Tigo Yawataja Washindi 16 Fiesta Super Nyota

   Mratibu  wa Mradi wa Tamasha la Fiesta 2016 kutokaTigo, Balla Shareeph (kushoto), akizungumza wakati wa hafla ya kuwataja  washindi 16 Super Nyota Tigo Dar es Salaam leo. Kulia ni Mratibu wa shindano hilo, Nickson George na katikati ni Mshindi wa shindano, Galla Mligo ‘Galla Bway’ kutoka Dar es Salaam ambaye alizungumza kwa niaba ya washindi wote.  Mratibu wa shindano hilo, Nickson …

Nape Amlilia Bondia ‘Thomas Mashali’

  WAZIRI wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye ametuma salamu za rambirambi kwa familia, ndugu, jamaa pamoja na Chama cha Wanandondi nchini kufuatia kifo cha Bondia wa ngumi za kulipwa Bw. Christopher Fabian Mashale maarufu kama ‘Thomas Mashali’ kilichotokea usiku wa kuamkia leo tarehe 31/10/2016. Mhe. Nape Nnauye pamoja na watendaji wa Wizara wamepokea kwa masikitiko …

Malinzi Aula CAF Kamati ya Mageuzi

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika, Issa Hayatou ameteua Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi kuwa miongoni mwa wajumbe 11 wa Kamati maalumu ya mageuzi ya muundo wa CAF itakayokuwa na jukumu la kufanya mabadiliko mapya ya shirikisho, imefahamika. Kwa mujibu wa taarifa ya CAF, katika Kamati hiyo ikayoongozwa na Rais Issa Hayatou …