Taasisi ya ANSAF Yawanoa Wadau wa Kilimo Kanda ya Ziwa

Katibu Tawala Msaidizi idara ya Uchumi na Uzalishaji mkoani Mwanza, Joanen Kukwami akifungua mkutano wa wadau wa kilimo Kanda ya Ziwa unaofanyika Jijini Mwanza kwa siku mbili,  Mkutano huo uliandaliwa na Jukwaa la Wadau wa Kilimo nchini ANSAF, lengo likiwa ni kuwajengea uwezo wa kuhakikisha kunakuwa na kilimo chenye tija katika mikoa ya Kanda ya Ziwa ili familia ziweze kujikimu …

Serikali Yaanza Mchakato Ujenzi Reli ya Kati Kiwango cha Kimataifa

Na Frank Shija, MAELEZO Serikali ya Awamu ya Tano ndani ya mwaka mmoja imeanza mipango ya kuboresha usafiri wa reli ya Kati kwa kuijenga kwa kiwango cha kimataifa yaani Standard Gauge. Usafiri huu utaongeza fursa za kiuchumi kwani mazao ya chakula na biashara toka mikoa ya Kigoma, Kagera, Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Tabora na Singida kuelekea Dar es Salaam yatasafirishwa kwa …

Majadiliano Muswada wa Habari Bungeni

Mwenyekiti wa Jukwaa la Habari Tanzania (TEF), Theothil Makunga (kulia), akiwa na wajumbe wa jukwaa hilo, Jane Mihanji (katikati) baada ya kutoka bungeni Dodoma , kusikiliza mwenendo wa majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari. Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge akiongoza majadiliano hayo   Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akiwasilisha bungeni Dodoma, Muswada wa …

Rais Magufuli Awataka Waandishi Kutotumiwa na Wamiliki Vyombo vya Habari

Na Beatrice Lyimo, MAELEZO-Dar es Salaam RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewataka waandishi wa habari nchini kutotumika kama mgongo kwa baadhi ya wamiliki wa vyombo vya habari katika kupinga muswada wa sheria wa huduma za habari wa mwaka 2016. Aliyasema hayo leo Jijini Dar es Saalam wakati wa mkutano wake na Wahariri wa vyombo …

Rais Magufuli Atoa ya Moyoni, Ni Katika Mazungumzo na Waandishi

          RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli leo ametoa ya moyoni alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Ikulu jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mara yake ya kwanza tangu aingie madarakani. Mazungumzo hayo ambayo yanaenda sambamba na maadhimisho ya mwaka mmoja tangu aingie madarakani, Rais Magufuli amesema kwa changamoto zilizopo nafasi …

Ban Ki-Moon Atibua Jeshi la Kenya, Lajitenga na UN Sudan

  RAIS wa Kenya Uhuru Kenyatta ametetea hatua ya nchi yake kuwaondoa wanajeshi wake kutoka kikosi cha Umoja wa Mataifa cha kulinda amani nchini Sudan Kusini. Rais Kenyatta alisema kuwa Kenya imejitolea katika kuchangia amani katika kanda hii na dunia nzima lakini akaongeza kuwa heshima ya nchi haiwezi kuchafuliwa. Rais Kenyatta alikuwa akizungumza wakati aliongoza hafla ya kufuzu kwa wanajeshi …