Afisa Mtendaji wa Wilaya ya Tandika Hija Kipeleka akizindua Rasmi kampeni ya Binti wa kitaa katika Wilaya ya Temeke, ambapo aliwashukuru wanaoendesha kampeni hiyo na kuahidi kushirikiana nao katika kupinga mimba na ndoa za utotoni. Mkurugenzi Mtendaji wa CVIF George David Maarufu kwa jina la Ambassador Angelo akielezea kwa kina kampeni ya Binti wa kitaa ilivyo wasaidia mabinti wengi na …
Filamu na Tamthilia za Kitanzania Kurushwa na DSTV
Mwenyekiti wa Bodi ya DSTV, Balozi Ali Mpungwe akizungumza wakati wa uzinduzi wa Filamu na Tamthilia za Kitanzania zitakazorushwa na DSTV kupitia Chaneli yao kuanzia Maisha Magic Bongo Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda akizungumza wakati wa uzinduzi huo. Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Tanzania, Joyce Fissoo akizungumza katika …
Prof. Ndalichako Afunga Mkutano Uboreshani Sekta ya Elimu Nchini
Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Aga Khan, Profesa JoeLugalla akielezea mambo mbalimbali waliyokubaliana katika mkutano huo jinsi wadau wanavyotakiwa kusaidiana na serikali kuboresha elimu nchini. Washiriki wakisikiliza kwa makini wakati Profesa Ndalichako akifunga mkutano huo uliofanyika kwenye Hoteli ya Morena. Profesa Lugalla akimpongeza Profesa Ndalichako Dk. Mkumbo akitoa neno la shukrani kwa Profesa Ndalichako na wadau wengine wa …
Wasanii wa Nigeria Kunogesha Fainali ya Fiesta 2016 Dar
Msanii kutoka Nigeria, Yemi Alade (kushoto) , akisalimiana na msanii Snura Mushi alipokuwa amewasili ukumbi wa mikutano wa Kampuni ya Simu ya Tigo kuzungumza na wanahabari wakati akijitambulisha kwao Dar es Salaam leo jioni, kuhusu uwepo wake kwenye hitimisho la Tamasha la Fiesta litakalofanyika kesho viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam. Mratibu wa Tamasha la Fiesta, Sebastian Maganga (kulia), …
EU yawekeza EURO milioni 1.7 Kituo cha Utamaduni Makumira.
Meneja Mradi wa Kituo cha Utamaduni cha Makumira, Randall Stubbs akitoa maelezo kwa Balozi wa Umoja wa Ulaya (EU) kwa nchi za Afrika Mashariki Roeland Van De Geer (kushoto) aliyeambatana na Mwakilishi wa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini, Amon Manyama (kulia). Umoja wa Ulaya (EU) umewekeza zaidi ya Euro milioni 1 na laki 7 …
Shirika la WOTESAWA Latambulisha Mradi Sauti ya Watoto Wafanyakazi Nyumbani
Na BMG Benedicto amesema Mradi wa Sauti ya Watoto Wafanyakazi wa nyumbani umelenga kuhamasisha jamii kuondoa aina zote za unyanyasaji na unyonyaji dhidi ya watoto wafanyakazi wa nyumbani ambapo wanajamii watajengewa uelewa juu ya vitendo vyote vya unyanyasaji na unyonyaji vinavyomuathiri mtoto mfanyakazi wa nyumbani ili kushiriki katika kuvitokomeza. Aidha ameongeza kwamba mradi huo utaongeza ushiriki wa mtoto …