Ofisi ya Taifa ya Takwimu Yatoa Taarifa Mfumuko wa Bei..!
Na Beatrice Lyimo, MAELEZO -DAR ES SALAAM OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) imetoa taarifa kuhusu mfumuko wa bei wa Taifa ambapo mfumuko wa bei wa taifa kwa mwezi oktoba, 2016 umebaki kuwa asilimia 4.5 kama ilivyokuwa mwezi Septemba mwaka huu Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mtakwimu Mkuu wa Ofisi ya Taifa takwimu, …
RC Awataka Ustawi wa Jamii Kushirikiana na Polisi Kudhibiti Ukatili
Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo cha One Stop Centre katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, Sekour Toure, hii leo. Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella, akizindua jengo la kituo cha One Stop Centre katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Mwanza, Sekour Toure. Mkuu wa mkoa wa Mwanza …
TEA Yahamasisha Uanzishwaji Mifuko ya Elimu Mkoani Kigoma
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania, Joel Laurent akihamasisha uanzilishwaji wa Mifuko ya Elimu kwa Uongozi wa Halmashauri ya wilaya ya Kasulu, Mkoa wa Kigoma. Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania Joel Laurent na mwanafunzi wa Shule ya Msingi Nengo iliyopo Kibondo yenye wanafunzi wenye mahitaji maaluum. Elimu maalum ni moja kati ya miradi inayaotekelezwa na Mamlaka ya …
Benki ya Twiga Bancorp ‘Yatoka’ Kifungoni…!
BENKI ya Twiga Bancorp Ltd (Twiga) ambayo ilikuwa imefungwa kwa muda na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) itaanza kufanya kazi baada ya mchakato wa kuifanyia tathmini ya kifedha kukamilika. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana benki hiyo itaanza kutoa baadhi huduma za kibenki kwa umma kuanzia Novemba 8, 2016. “Kwa mamlaka iliyopewa kisheria kupitia …
Rais Magufuli ‘Amlilia’ Spika Mstaafu Samuel Sitta, CCM Watuma Rambirambi..!
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai kufuatia kifo cha Spika Mstaafu na Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Urambo lililopo Mkoani Tabora Mhe. Samuel Sitta. Mhe. Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia katika hospitali ya Technical University of …