Vincent Kompany Aponea Chupuchupu

Nahodha wa Manchester City, Vincent Kompany hana jeraha lolote, licha ya kutolewa kwake katika mechi waliotoka sare ya bao moja kati ya Ubelgiji na Uholanzi. Beki huyo mwenye umri wa miaka 30 , amepata majeraha kwa misimu ya hivi karibuni na kujitoa kwa muda kabla mechi ya Jumatano. Huku ,mshambuliaji wa Tottenham Vincent Janssen alipata mshtuko katikati ya mchezo. Kiungo …

Wenger Awapigia Magoti Chile

Meneja wa Arsenal Arsene Wenger ameiomba Chile kutomuweka hatarini mshambuliaji Alexis Sanchez mechi ya taifa hilo ya kufuzu kwa Kombe la Dunia dhidi ya Uruguay. Sanchez, 27 ,alikosa mechi ambayo Chile walitoka sare 0-0 naColombia Alhamsii baada yake kupata jeraha la misuli. Matabibu wa Chile wamekuwa wakitumai atapata nafuu kwa wakati kuweza kucheza mechi hiyo dhidi ya Uruguay Jumanne mjini …

Madaktari Manchester United Wamchafua Mourinho

Mkufunzi wa Manchester United Jose Mourinho anachunguza kila kitu kuhusu kikosi chake cha kwanza baada ya kusikitishwa na utamaduni aliorithi katika klabu hiyo. Mourinho inadaiwa haifurahii idara ya matibabu ya klabu hiyo.Lakini baada ya kumrithi Louis Van Gaal msimu uliopita,inaeleweka kwamba Mourinho anahisi utamaduni uliopo katika klabu hiyo hauafikii matarajio yake. Mourinho ameshinda mataji 23 akifunza Porto,Chelsea,Inter Milan na Real …

JKT Oljoro Watoa Madawati 537 Halmashauri ya Serengeti

Kaimu Kamanda wa Kikosi cha JKT Oljoro Meja Robert Kabanda akikabidhi Madawati 537 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mhandisi Juma Hamsini. Kaimu Kamanda wa Kikosi cha JKT Oljoro Meja Robert Kabanda akikabidhi Madawati 537 kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Mhandisi Juma Hamsini. Kaimu Kamanda wa Kikosi cha JKT Oljoro Meja Robert Kabanda akikabidhi Madawati …

Bayport Yakabidhi Madarasa Yenye Thamani ya Milioni 200 Kituoni KCVC

Watoto  wanaolelewa katika  kituo cha KCVC wakiimba  wimbo  maalumu.     Afisa  Mtendaji Mkuu wa Bayport Tanzania, John Mbaga  akiongea na wageni  waalikwa  katika hafla ya  uzinduzi wa  kituo cha KCVC.   Mlezi kituo  hicho mama Anna Mkapa akitoa hotuba kwa wageni waalikwa      Mkuu wa  wilaya  ya  Kibaha  mh Asumta  Mshama akiongea na  wageni  waalikwa  katika  hafla ya uzinduzi …

Naibu Spika Dk Tulia Asakata Mpira wa Pete na Timu ya Bunge

  Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson (kulia), wa timu ya Bunge  akidaka mpira ulioelekezwa golini kwake walipocheza na timu ya Wilaya ya Chato katika mchezo wa kirafiki wa netiboli uliofanyika hivi karibuni kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma.               PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA