Robert Lewandowski Azua Balaa Uwanjani

Mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski aliangukiwa na fashifashi iliyorushwa kutoka jukwaa la watazamaji katika pambano lililokuwa na hamasa nyingi kati ya Poland na Romania. Mshambuliaji wa Poland Robert Lewandowski aliangukiwa na fashifashi iliyorushwa kutoka jukwaa la watazamaji katika pambano lililokuwa na hamasa nyingi mwishoni mwa wiki, lakini hatimaye ndie aliyetoka uwanjani akitabasamu , baada ya kufunga mabao mawili katika ushindi …

Bodi ya Filamu Yawafunda Wasanii wa Filamu Mwanza

  Afisa Uendeshaji na Masoko kutoka Shirika la Pensheni la PPF Kanda ya Ziwa, Khatibu Mussa Khatibu (kulia), akitoa semina kuhusu Umuhimu wa wasanii wa filamu mkoani Mwanza kujiunga na shirika hilo ili kunufaika na huduma mbalimbali ikiwemo mafao ya matibabu, kutokana na kazi zao.  Na George Binagi-GB Pazzo MAFUNZO kwa wasanii wa Filamu yaliyoandaliwa na Bodi ya Filamu nchini mkoani …

Wanawake Watathimini Mwaka Mmoja wa Rais Dk Magufuli

              WANAWAKE kupitia Mfuko wa Wanawake Tanzania wamekutaka katika mkutano na kutoa tathimini ya mwaka mmoja wa Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli. Mkutano huo ulioshirikisha wanawake kutoka mikoa mbalimbali umefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mtandao wa Jinsia Tanzania, TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika …

Chuo cha VETA Kuanzisha Kozi ya Utalii wa Kitamaduni

    MAMLAKA ya Elimu na mafunzo ya Ufundi stadi (VETA) kupitia chuo cha VETA Mikumi inatarajia kuanzisha kozi ya utalii wa kitamaduni ili kuwafundisha watanzania tamaduni, mila na desturi ili kuulinda utamaduni wetu, ambao unaonekana kupotea kadri teknolojia inavyozidi kukua kila siku. Akizungumza na waandishi wa habari walipotemebelea chuo hicho Cha VETA Mikumi, Mkuu wa chuo hicho Christopher Ayo …

Kampuni ya TTCL Yapeleka Intaneti Bure Taasisi ya JKCI

        KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) leo imefunga huduma za mawasiliano ya intaneti bure katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) itakayowawezesha madaktari, wafanyakazi wengine, wagonjwa pamoja na wananchi wanaofika katika kituo hicho kupata huduma ya mawasiliano ya intaneti bure yenye kasi ya hali ya juu. Akikabidhi huduma hiyo, Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya …

Taifa Stars Yaifuata Zimbabwe Kukiminya Kesho kutwa

Timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro kutoka Kampuni ya Bia Tanzania imeondoka leo Ijumaa saa 7.15 mchana Novemba 11, mwaka huu kwenda Harare, Zimbabwe kwa ajili ya kucheza na wenyeji kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika Novemba 13, mwaka huu. Mchezo huo wa kirafiki wa kimataifa utakaofanyika jijini Harare, umeratibiwa kwa …