Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Yatoa Siku 30 kwa Wadaiwa Sugu

Na Frank Shija, MAELEZO BODI ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kupewa notisi ya siku thelethini (30) wawe wameanza kulipa madeni yao kabala hatua zaidi hazijachukuliwa dhidi yao. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Abdul – Razaq Badru alipokuwa akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa …

Harusi ya Bw. Louis Munishi na Mkewe Bi. Inviolata Yavutia Dar

                                iliyopita jijini Dar es Salaam. ” width=”800″ height=”533″ /> Bwana harusi Louis Munishi akipata picha ya kumbukumbu na mkewe Bi. Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam.[/caption]   …

Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Azulu Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 14 Novemba, 2016 amekutana na Rais Mstaafu wa Afrika Kusini Mhe. Thabo Mbeki ambapo viongozi hao wawili wamezungumzia masuala mbalimbali kuhusu Umoja wa Afrika (AU). Pamoja na kuzungumzia masuala yahusuyo Umoja wa Afrika, Rais Mstaafu Thabo Mbeki amempongeza Rais Magufuli kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Awamu ya …

Dk. Shein Opens a Norwegian-Funded Pediatric Ward at Mnazi mmoja Hospital- Zanzibar

  President of Zanzibar, Dr Ali Mohammed Shein delivers his keynote speech to mark the official opening of Children’s ward at Zanzibar Mnazi Mmoja Hospital.   Zanzibar Ministry of Health’s Principal Secretary, Dr Juma Malik Akil briefing the Chief Guest and audience on the Norwegian-funded Children’s ward. President of Zanzibar, Dr Ali Mohammed Shein keenly follows a speech by the …

Waziri wa Michezo Aridhishwa Ukarabati Uwanja wa Nyamagana

Waziri Nhauye ameeleza kuridhishwa na uwekaji wa nyasi bandia kwenye uwanja huo ambapo amewashukuru wadau wote waliofanikisha ukarabati wake wakiwemo wajasiriamali Jijini Mwanza ambao kodi zao zimesaidia upatikanaji wa zaidi ya shilingi Milioni 190 kutoka Halmashauri ya Jiji hilo ambazo zilizojumuishwa na dola za Kimarekani Laki Tano zilizotolewa na Shirikisho la Soka Duniani FIFA kwa ajili ya utekelezaji wa mradi …

Wamareka Waanza Kung’ara Tour of Rwanda

Mmarekani Ruggy Timothy ndiye aliyeshinda raundi ya kwanza ya ufunguzi wa mashindano ya mbio za kimataifa za baiskeli maarufu Tour of Rwanda yaliyoanza mjini Kigali. Timothy kutoka timu ya Lowestrates ya nchini Canada, ameshinda raundi hii ya kilomita 3,3 akitimka kwa dakika 4.00 . Amewashinda kwa nukta chache Aman Gebreig Zabhier kutoka Eritrea aliyeshika nafasi ta pili na Areruya Joseph …