Serikali Kuboresha Mitambo ya Uchapishaji Nyaraka Uhamiaji

   Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza na baadhi ya wananchi waliokuja kupata huduma Makao Makuu ya Idaya ya Uhamiaji wakati wa ziara yake ya siku moja aliyoifanya leo Kurasini jijini Dar es Salaam.   Waziri Mwigulu akiwasili kwenye mradi wa ujenzi wa nyumba za makamishna wa Uhamiaji zinazojengwa Kijichi jijini Dar es Salaam kuzikagua.   …

Viongozi wa Serikali Watumie Ndege za ATC – Makamu wa Rais Samia

    MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania, Bi. Samia Suluhu amewasihi viongozi wa serikali na wananchi kutumia ndege za Shirika la Ndege Tanzania (ATC) ili kudumisha uzalendo na kuchangia pato la shirika hilo kwa lengo la kuhimili ushindani na kukuza uchumi wa nchi. Ametoa rai hiyo jijini Dar es salaam alipopewa hati ya kusafiria kupitia ndege …

Wasaidizi wa Kisheria Wanawake Wafanya Usafi Sokoni…!

  Ofisa Ufuatiliaji na Tathmini wa Shirika la Equality for Growth (EfG), Shaban Rulimbiye (kushoto), akiwaongoza kufanya usafi Soko la Temeke Sterio Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliwa ni kuunga mkono jitihada za Rais Dk. John Magufuli katika suala zima la usafi wa mazingira.   Msaidizi wa kisheria katika soko hilo, Batuli Mkumbukwa  akifanya usafi. Wasaidizi wa kisheria wakiwa …

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Azinduwa Kituo cha Kuendeleza Wauguzi

  Habari/Picha Na Ally Daud BARAZA la Wauguzi na Wajunga nchini wametakiwa kutowaonea aibu wale wote wanaoanzisha vyuo vya afya kama mradi wa kujiingizia fedha bila ya kuwa na taaluma hiyo kwani kunapelekea kuhatarisha Maisha na afya za watanzania. Hayo yamesemwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu wakati akiweka jiwe la …

Mama Samia Suluhu Kuongoza Kampeni ya Matibabu Saratani ya Matiti

KAMPENI hiyo itazinduliwa kesho katika Uwanja wa Furahisha Jijini Mwanza na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na baadaye kufanyika kwa siku mbili bure. Kutoka kushoto ni Dk. Mary Charles ambaye ni Makamu wa Rais MEWATA, Mganga Mkuu mkoa wa Mwanza, Dk. Leonald Subi, Rais wa MEWATI, Dk. Serafina Mkuwa, Mwenyekiti Kamati ya Kampeni na Mjumbe kamati tendaji MEWATA, Dk. …

Jumia Market Launches Black Friday 2016 This November

    JUMIA Market Tanzania announces the launch of Black Friday this month providing customers more deals than ever before. Jumia Market aims to give back to the community with revolutionary discounts which will be available from the week of 21st November towards the actual day of the event on 25th November, Black Friday. It’s all about deals and bargain …