Mollel Foundation Yaandaa Matembezi Kukabiliana na Vifo vya Watoto

  Na Bakari Madjeshi   KATIKA kuhakikisha kuwa vifo vya Watoto Njiti vinapungua hapa nchini, Taasisi ya Doris Mollel Foundation imeandaa Matembezi ya Hisani ili kukabiliana na vifo vya watoto hao kupungua. Matembezi hayo yenye kauli mbiu ya “Okoa Maisha ya Mtoto Njiti” yatafanyika Visiwani Zanzibar kutokana na Wanawake wengi visiwani humo kukabiliwa kwa asilimia kubwa na suala hilo la Watoto kuzaliwa …

Kampuni ya TIGO Yapeleka 4G LTE Same, Kilimanjaro

    Katibu Tawala wa Wilaya ya Same Sospeter Mabenga, akihutubia wakati wa kuzindua mtandao wenye kasi wa 4G LTE, hafla ambayo ilifanyika jana mjini Same.    Wafanyakazi wa Kampuni ya simu za mononi ya Tigo wakishuhudia uzinduzi wa mtandao wa 4G LTE, uliofanyika jana mjini Same.   Baadhi ya wakazi wa mji wa Same wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni …

Baraza la Uwakilishi Zanzibar Lafagilia Mradi wa Bomba la Mafuta Tanga

    WAJUMBE 14 wa Kamati ya Mawasiliano na Ujenzi Baraza la Uwakilishi la Zanzibar wamesema ujio wa Mradi wa Bomba la Mafuta Tanga litaongeza ajira kwa vijana wakiwemo Wanzanzibar waishio Tanga. Wajumbe hao wakiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Hamza Hassan Juma walitembelea bandari ya Tanga eneo la upakuzi wa shehena ya mizigo na eneo itakapojengwa bandari mpya ya …

Tume Haki za Binadamu Yaishukuru UN Kuzisaidia Taasisi za Kisheria

  TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeshukuru Umoja wa Mataifa kwa msaada wake mkubwa inaotoa kwa taasisi zisizo za kiserikali za kujengea uwezo wa kuweza kutetea haki za binadamu nchini Tanzania.   Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mtendaji wa THBUB, Mary Massay wakati wajumbe wa nchi za Nordic ambao ni wafadhili wakubwa wa programu za Umoja …

Ujenzi Gati ya Kisasa Nyamisati Kuanza Mwakani

    NAIBU Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani amewahakikishia wananchi wa Wilaya za Kibiti, Rufiji na Mafia kuwa ujenzi wa gati la kisasa katika eneo la Nyamisati utaanza wakati wowote baadaye mwakani na kukamilika ifikapo Machi 2018. Akizungumza mara baada ya kukagua eneo litakapojengwa gati hilo katika pwani ya Nyamisati wilayani Kibiti Eng. Ngonyani amewataka viongozi …