Na Dotto Mwaibale WAZIRI wa Fedha Dk. Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yatakayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa mkabala na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM). Maadhimisho hayo yatafanyika kesho kuanzia saa tatu asubuhi ambapo wadau mbalimbali wa masuala ya takwimu na wananchi watahudhuria. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari …
Kituo cha Uwekezaji Tanzania Chakutanisha Wawekezaji Wabubwa
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Migodi ya Acacia, Brad Gordon akizungumza kuhusu uwekezaji wa kampuni yake, nchini pamoja na uzalishaji pia utekelezaji wa miradi ya kijamii kwenye maeneo ya migodi ya kampuni hiyo, wakati wa mkutano huo wa uwekezaji katika sekta za maliasili za mafuta na gesi, uchimbaji madini kilimo na maendeleo ya mifugo, uliotayarishwa na Kituo cha …
Watanzania Kuanza Kunufaika na Utambulisho wa Taifa, NIN
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi; Mh. Mwigulu Nchemba (Mb) ametembelea Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), ambapo alikutana na Menejimenti ya NIDA na kupokea taarifa ya maendeleo ya shughuli ya Usajili na Utambuzi wa Watu. Akitoa taarifa ya maendeleo ya mradi wa Vitambulisho vya Taifa, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NIDA; Ndugu Andrew …
Wakala Huduma za Misitu Waipa Madawati 80 Shule ya Msingi Kibasila
Ofisa Mistu wa Wilaya ya Temeke, Fredrick Umilla (kulia), akizungumza katika hafla hiyo ya kukabidhi madawati. Meneja wa TFS Wilaya ya Temeke, Francis Kiondo (kulia), akitoa taarifa kwa mgeni rasmi. Meneja wa TFS Wilaya ya Temeke, Francis Kiondo (wa pili kulia), akimkabidhi mgeni rasmi, Hashim Komba hati ya makabidhiano wa madawati hayo. Kutoka kushoto ni Msaidizi wa Mkuu wa …
Waziri Kairuki Mradi Ujenzi Nyumba za Watumishi wa Umma Kigamboni
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Ujenzi wa Nyumba za Watumishi wa Umma (WHC) Fredy Msemwa (katikati), akitoa taarifa kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Angella Kairuki (kushoto), kuhusu mradi wa ujenzi wa nyumba za watumishi wa Umma zinazojengwa Gezaulole Kigamboni jijini Dar es Salaam. Waziri Kairuki alikuwa katika ziara ya siku moja kutembelea miradi …