MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kuwashukuru wakazi wa Dar es Salaam kwa kushiriki katika zoezi la kuhakiki Namba ya Utambulisho Mlipakodi (TIN). Kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi kutaka kuhakiki taarifa zao, Mamlaka imeamua kuongeza muda wa uhakiki hadi tarehe 31 Januari, 2017. Pamoja na kuongeza muda wa uhakiki, Mamlaka pia imeongeza vituo vya kuhakiki TRA pia inawakumbusha …
Awamu Pili Shindano la SBL Kutafuta DJ Mbobezi Kuchanganya Muziki Yaanza
Meneja chapa wa vinwaji vikali Shomari Shija akifafanua jambo wkwa waaandishii wa habari katika mkutano huo uliofanyika katika ofisi za SBl Temeke jijini Dar es salaam,katikati ni jaji mkuu wa shindano hilo Dj PQ na kushoto mwishoni ni Mkuu wa Masoko na Vinywaji vikali wa SBL , Stanley Samtu . Meneja Biashara wa SBL Esther Raphael …
PASADA Yaomba Bajeti wa Waathirika na Virusi vya UKIMWI
SERIKALI imeombwa kutengeneza bajeti ya kusaidia taasisi mbalimbali zinazojishughulisha na kusaidia watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI ikiwa ndio njia ya kuhakikisha huduma kwa waathirika hao zinaendelea kuimarika. Imeelezwa kuwa ingawa serikali ndiyo inayotoa dawa za kufubaza makali ya UKIMWI ARVs, haitengenezi bajeti kwa ajili ya wafanyakazi wanaohudumia waathirika kisaikolojia na kitiba. Hoja hiyo imetolewa na Meneja mradi wa …
Rais Magufuli Asaini Sheria ya Huduma za Habari
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, inawataarifu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametia saini Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016 iliyopitishwa na Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wake wa 5 Mjini Dodoma. Rais Magufuli amesaini Sheria hiyo tarehe 16 Novemba, 2016. Dkt. Magufuli amewapongeza wadau wote …
Waziri Mbarawa Awaomba Wadau Binafsi Kushirikiana na Serikali
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewataka wadau wa Sekta binafsi kujitokeza na kushirikiana na Serikali katika uwekezaji wa ujenzi wa miradi ya usafirishaji nchini. Aidha amewataka wadau hao kuendelea kufadhili utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyo chini ya sekta hiyo ili kuchochea fursa za maendeleo. Hayo ameyasema wakati akifungua mkutano wa 10 wa mashauriano …
Ijue Historia Fupi ya Hifadhi ya Taifa ya Katavi
Mmoja wa Simba akiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi. Baadhi ya Mamba wakiwa wamepumzika katika hifadhi ya Taifa ya Katavi. Hawa ni Punda milia wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi. Kama kibao kinavyo onekana hili ni Eneo la Tambiko ambapo watu huja kusali na kutoa sadaka mbalimbali. Simba akiwa na mzoga wa Kiboko. Na Walter Mguluchuma …