Rais Msaafu Mwinyi Aongoza Mahafali ya Chuo Kikuu Kampala, KIU

   Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akiwatunuku wahitimu wa kozi mbalimbali katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Kampala cha jijini Dar es Salaam kwenye sherehe za mahafali.  Baadhi ya waadhiri wa chuo hicho wakiwa kwenye mahafali hayo.  Rais mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi (kushoto) na mgeni rasmi katika mahafali …

TAMISEMI Yataka Serikali Izingatie Malengo ya Maendeleo Endelevu

  MKURUGENZI wa Mifumo Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Henry Katabwa ametaka Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDG’s) kuhusishwa kwenye michakato ya maendeleo ya serikali za mitaa, hasa kwenye programu zinazotekelezwa kwenye ngazi za chini kabisa ambapo ndiko wananchi wenye hali duni kimaendeleo wanapatikana. Kauli hiyo aliitoa wakati akifunga warsha ya malengo ya maendeleo endelevu kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii na Mipango kutoka …

Kampuni ya SBL Yamzawadia Mteja wa Bia Pikipiki Mpya

    Meneja Chapa wa Bia ya Pilsner, Isamba Kasaka  akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) wakati wa kukabidhi zawadi kwa  mshindi wa pikipiki mpya iliyotolewa kwa  Shindano la kunywa bia ya Pilsner  lililofanyika jijini Dar es Salaam  mwishoni mwa wiki  linalojulikana kama “Pilsner Lager Nguruma Party.”  Pembeni yake ni Meneja Biashara  Mipango na matukio Pwani na Dar …

CAG Kutafuta ‘Madudu’ Ujenzi wa Soko la Mwanjelwa, Mbeya

  MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesanu za serikali (CAG), anatarajia kuanza kufanya ukaguzi maalum katika Halmashauri ya Jiji la Mbeya baada ya kudaiwa kuwepo kwa viashiria vya ubadhilifu wa fedha zilizotumika kukamilisha ujenzi wa soko la Mwanjelwa. Awali, Agosti 9 mwaka huu, Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa akiwa katika ziara yake Mkoani Mbeya, alifanikiwa kutembelea mradi huo wa soko ambao …