Arsenal wamepangwa kucheza na Bayern Munich, Leicester City watakutana na Sevilla nao Manchester City wakabiliane na Monaco katika hatua ya 16 bora Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya. Gunners wamecheza dhidi ya mabingwa hao wa Ujerumani mara nne katika misimu mitano iliyopita. Walimaliza wa pili nyuma ya Bayern katika hatua ya makundi msimu uliopita. Leicester City, mabingwa watetezi wa ligi kuu …
Droo ya Timu 16 Kufanyika Leo Uswis
Baada ya timu kumi na sita kufuzu katika hatua ya kumi na sita bora ya michuano ya klabu bingwa ulaya, UEFA Champions Legaue Droo ya kupanga michuano ya hatua ya mtoano ya timu kumi na sita inafanyika leo Jumatatu Decemba 12 mjini Nyon, Uswiwi.Timu zilizofuzu kutoka kundi A ni Arsenal wakiwa vinara wa kundi na Paris Saint Germain katika nafasi …
Waziri Mkuu Majaliwa Azindua Mradi wa Umwagilia
Na Ferdinand Shayo,Arusha. Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa amezindua mradi wa Umwagiliaji katika kijiji cha Jobag wilaya ya Karatu uliofadhiliwa na Shirika la Word vision ambao unahudumia ekari 1200 na kuwafikia wakulima 4000. Akizungumza katika uzinduzi wa Mradi huo ,Majaliwa amesema kuwa mradi huo utasaida kuchochea kilimo cha umwagiliaji hasa katika kipindi hiki ambacho kuna mabadiliko ya tabia ya …
Waandishi wa Habari za Mitandao Wakutana
Mwenyekiti wa Chama Cha Wamiliki na Waendeshaji wa Mitandao ya Jamii ‘Tanzania Bloggers Network (TBN) Joachim Mushi (kushoto) akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Mawasiliano Nchini, Dk. Hassan Abbas kwenye Mkutano mkuu wa mwaka wa wanachama wa Bloggers Tanzania uliofanyika Jijini Dar es Salaam. Baadhi ya Viongozi walioshiriki kwenye Mkutano mkuu wa mwaka wa wanachama wa Bloggers …
TFF Yachunguza Kifo cha Mchezaji wa Mbao fc
KAMATI ya Tiba ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), inafanyia uchunguzi kifo cha mchezaji wa Mbao FC, Ismail Mrisho Khalfan aliyefariki jana wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vijana chini ya umri wa miaka 20 mjini Bukoba. Taarifa ya TFF imesema kwamba Kamati hiyo inaendelea na uchunguzi wa kifo cha mchezaji huyo kabla ya baadaye kutoa taarifa za kamili …
Rais Magufuli Akasilishwa na Uzushi Juu ya JK
Katika siku za karibuni baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii imechapisha taarifa zinazomhusisha Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Mama Salma Kikwete na Taasisi anayoiongoza ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) kwamba imeshindwa kulipia kodi mizigo mikubwa iliyoiingiza nchini na hivyo kuwa hatarini kupigwa mnada. Taarifa hizo zimemhusisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …