Uber Kukuendesha Msimu Huu wa Siku Kuu..!

UBER huendesha modeli fanisi inayoitwa bei hai, ambayo huwawezesha watumiaji kupata gari wakati wanaihitaji sana – hasa wakati wa siku za mwaka zenye shughuli nyingi, kama vile Siku ya Kuamkia Mwaka Mpya au baada ya hafla kubwa ya michezo. Msimu wa sikukuu ukianza nchini Tanzania, tunakabiliana na changamoto ya mwaka: tutawezaje kufika nyumbani sikukuu zikiisha? Ijapokuwa ni rahisi sana kuwajibika, watu wengi …

CCM Yafanya Mabadiliko Makubwa Chini ya Dk. Magufuli…!

  TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imekutana leo tarehe 13/12/2016 jijini Dar es salaam kwa kikao cha siku moja cha kawaida. Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa CCM Dkt. John Pombe Magufuli. Pamoja na mambo mengine, Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM imepokea taarifa ya Tathimini ya Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015, …

JWTZ, Wanahabari Waliopanda Kilimanjaro Kusherehekea Miaka 55 Uhuru Watambuliwa

  Washiriki wa changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kusherehekea kumbukumbu ya Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara wakiwemo Askari Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na Waandishi wa Habari wakishuka baada  ya kupanda mlima huo kwa siku sita. Zoezi hilo limeongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu Jenerali George Witara (Mwenye fimbo mstari wa mbele) na …

Mkutano Mkuu TBN Wafungua Milango na Fursa kwa Bloggers Tanzania

Disemba 05 na 06 mwaka huu 2016 ulifanyika Mkutano Mkuu wa Waendeshaji/ Wamiliki wa Mitandao ya Kijamii nchini kupitia umoja wao wa Tanzania Bloggers Network TBN, uliofanyika ukumbi wa PSPF Jijini Dar es salaam. (Pichani anayezungumza na Mwenyekiti wa TBN) Siku ya kwanza ilikuwa mahususi kwa ajili ya semina kwa wanablogu hao juu ya namna ya kuendesha mitandao yao kwa …

Kampuni ya SBL Yakabidhi Mradi wa Maji Makanya, Same

  Mkuu wa wilaya ya same Bi Rosemary Semanyole akifurahi pamoja na baadhi ya viongozi wa serengeti breweries Limited .kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasialiano wa SBLJohn Wanyancha  mara baada ya uzinduzi wa mradi wa maji katika kijiji cha makanya..Hafla ya uzinduzi ilifanyika katika kijiji cha Makanya wilaya ya same mapema jana.     Baadhi ya wanakijiji wa same wakipata huduma ya maji …

Ronaldo Amshinda Tena Messi Ballon d’Or

Mshambuliaji wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amemshinda mpinzani wake Lionel Messi na kupata tuzo ya mchezaji bora wa dunia Ballon d’Or hii ikiwa ni kwa mara ya nne. Ronaldo mwenye miaka 31 sasa anahitaji tuzo moja tu kumfikia Messi ambaye mwaka jana alipata tuzo ya tano. Mshambuliaji wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Ufaransa Antoine Griezmann amemaliza katika …