TGNP Yakutanisha Wadau Kuchambua Sera ya Maji Dar

            MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) inakutanisha watendaji mbalimbali na wataalamu kutoka sekta za Maji, Afya na Elimu pamoja na wale wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuangalia changamoto za kijinsia zilizopo kwenye sera za sekta tajwa. Watendaji hao na wataalamu wanaoungana na wengine kutoka Halmashauri zote za jiji la …

Serikali Kujenga Daraja Kubwa Kigongo – Busisi Mkoani Mwanza

  SERIKALI imesema ipo katika hatua za mwisho kuanza ujenzi wa Daraja la Kigongo – Busisi lenye urefu wa kilometa 3.2 litakalounganisha eneo la Kigongo na Busisi, wilayani Misungwi Mkoani Mwanza. Kauli hiyo imetolewa mkoani Mwanza na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa wakati akizungumza na watumishi wa Taasisi za Wizara hiyo ambapo pamoja na mambo mengine …

UNICEF Yaadhimisha Miaka 70 ya Kuanzishwa…!

  Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) limeadhimisha miaka 70 tangu kuanzishwa (1946-2016) likiwa na kauli mbiu ya Kwa Kila Mtoto, Tumaini. Akizungumza katika maadhimisho hayo, Mwakilishi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), Bi. Maniza Zaman alisema shirila lao kwa kipindi cha miaka 70 limekuwa likifanya kazi za kuwasaidia watoto ambapo malengo yao ni kuhakikisha watoto …

Halmashauri Jiji la Mbeya Yasaini Mkataba Kuboresha Barabara

  HALMASHAURI ya Jiji la Mbeya, leo imeingia mkataba na makandarasi mbalimbali wa ujenzi wa miundombinu ya barabara pamoja na madaraja katika Kata 14. Mkataba huo, umesainiwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Mbeya, David Mwashilindi huku ukishuhudiwa na baadhi ya madiwani wa Kata husika pamoja na mwanasheria wa halmashauri hiyo Davis Mbembela.     Awali akizungumzia tukio hilo kabla ya kusaini, Meya Mwashilindi …

Polisi Dar ‘Wamkamata’ Kiongozi wa Mtandao wa JamiiForums…!

MKURUGENZI Mtendaji wa mtandao wa JamiiForums, Maxence Melo amenyimwa dhamana ya polisi kwa madai ya “amri kutoka kwa wakubwa.” Taarifa zinaeleza kuwa Maxence aliitikia mwito wa Polisi – Kanda Maalum ya Dar es Salaam, leo asubuhi, lakini alipofika Kituo Kikuu cha Kati cha Polisi, alizuiliwa na polisi. Akiwa ameongozana na mwanaharakati wa kutetea uhuru wa mawasiliano na mhariri, Simon Mkina …