Safari ya Mwisho ya Mpigapicha Mpoki Bukuku..!

  Alice Mama wa Marehemu Mpoki Bukuku akisaidiwa kuweka shada la maua katika kaburi la mwanaye Mpoki Bukuku wakati wa mazishi hayo yaliyofanyika Msalato nje kidogo ya mji wa Dodoma Marehemu Mpoki alifariki hivi karibuni jijini Dar es salaam kwa kugongwa na gari maeneo ya Mwenge. Watoto wa Marehemu Mpoki Bukuku Junior akiongozana na wadogo zake wakiweka shada la maua …

Mwadhama Kardinali Pengo Atoa Ujumbe Mkesha wa Krismasi…!

 Kwaya ya Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Akbano ikitumbuiza katika ibada iliyofanyika katika kanisa hilo jijini Dar es Salaam.  Waumini wa Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Albano wakiwa kwenye ibada ya mkesha wa krismasi.  Vijana wa Kanisa la KKKT la Azania Front wakiigiza igizo la kumbukumbu ya kuzaliwa Yesu Kristo.  Kwaya ya Vijana ya KKKT usharika wa Azania Front ikitoa …

Hatimaye Bwanaharusi Aliyekimbia Ndoa Kanisani Arejea na Kufunga

  HATIMAYE lile tukio lililovuta hisia za watu wengi la bibi harusi, Given Mgaya, kukimbiwa kanisani na mchumba wake siku ya harusi, limepatiwa jibu baada ya bwana harusi , Samwel Mwakalobo, kujirudi na kuamua kutimiza ahadi yake ya kufunga ndoa.   Ndoa hiyo imefungwa leo  majira ya saa tisa Desemba 23  katika Kanisa la (K.K.K.T) Usharika wa Isanga na kufungishwa na Mchungaji, Mathias …

Meneja wa Crystal Palace Atimuliwa

Klabu ya Crystal Palace imemfuta kazi mkufunzi wake Alan Pardew wakati ambapo klabu hiyo iko katika nafasi ya 17 katika ligi ya Uingereza. Pardew aliteuliwa na kupewa kandarasi ya miaka mitatu na nusu katika mkataba uliotiwa sahihi mnamo mwezi Januari 2015, lakini meneja huyo mwenye umri wa miaka 55 amefutwa kazi baada ya kushinda mechi moja pekee kati ya 11. …