Kampuni ya TTCL yadhamini michuano ya vyuo Soka la Ufukweni

Mkuu wa Biashara Kanda ya Dar es salaam wa Kampuni ya Simu nchini Tanzania (TTCL), Jane Mwakalebela (wa tatu kushoto) akimkabidhi nahodha wa timu ya Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es Salaam (CBE), Ally Rabi (wa tatu kulia) fedha shs 600,000/- pamoja na laini za TTCL za 4G LTE zenye muda wa maongezi wa simu na intaneti (10GB) kwa …

Wafanyakazi wa Jambo Leo Walivyo Ukaribisha Mwaka Mpya 2017…!

  Wafanyakazi wa Gazeti la Jambo Leo linalochapishwa na Kampuni ya Quality Media Group Limited wakiwa na furaha wakati wa hafla ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2017 kwenye Ukumbi wa Ground Zero, Kurasini Dar es Salaam juzi.   Wakigongeana ikiwa ni ishara ya kutakiana heri ya Mwaka Mpya wa 2017.   Wakicheza kwa furaha muziki uliokuwa ukiporomoshwa wakati wa hafla hiyo. …

Muziki wa Tanzania na Tathmini ya John Kitime 2016

    JANUARI 2013, niliandika makala kuhusu nilivyouona muziki mwaka 2012. Naona nirudie makala ile kama nilivyoiandika, na kukuachia msomaji kulinganisha na hali ilivyokuwa 2016. Mwaka 2012 ndio huoo umetokomea, ni vizuri kuangalia yaliyopita ili kujitayarisha na yajayo. Muziki wa nchi yetu ulitawaliwa na muziki wa Bongoflava, Taarab, muziki wa bendi, matarumbeta, muziki wa Enjili, na muziki wa kiasili. Si siri kuwa muziki wa Bongoflava ndio uliokuwa …

Watanzania Watakiwa Kuzipigia Kura Filamu za Kitanzania AMVA 2017

BODI ya Filamu nchini imewahamasisha Watanzania kuongeza ari ya kuzipigia kura filamu za kitanzania zinazowania tuzo za Africa Magic Viewers Awards (AMVA 2017) za nchini Nigeria. Katibu Mtendaji wa bodi hiyo, Bi Joyce Fissoo alitoa hamasa hiyo, wakati akihojiwa kwenye kipindi cha ‘Power Break Fast On Saturday’ kinachorushwa na Clouds FM ya jijini Dar es Salaam. “Filamu hizo ni Naomba Niseme, Aisha …

UVCCM Longido Yatoa Msaada Kwa Watoto Yatima

Na Ferdinand Shayo,Arusha. Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Longido umetembelea kituo cha Watoto yatima na Wanaoishi katika mazingira magumu cha Masai Foundation kilichopo mji mdogo wa Namanga na kutoa msaada wa vyakula pamoja na vifaa mbalimbali. Mjumbe Baraza Kuu UVCCM Mkoa wa Arusha Robert Kaseko Amesema kuwa wameamua kushirikiana na jamii katika kusaidia watoto ikiwa ni …