Zanzibar Wajitokeza Kutembelea Banda la NIDA Viwanja vya Maisara
WANANCHI wa Zanzibar wamejitokeza kwa wingi kwenye sherehe za uzinduzi wa maonesho ya sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, yanayoendelea kwenye viwanja vya Maisara mjini Zanzibar. Maonesho hayo yamezinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dr. Ali Mohamed Shein, ambaye pamoja na mambo mengine amesisitiza Taasisi za Serikali na binafsi …
TTCL Yakanusha Taarifa ya Gazeti la The East African
TAARIFA KWA UMMA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA TTCL, INAPENDA KUUJULILISHA UMMA KUWA,TAARIFA ILIYOCHAPISHWA KATIKA UKURASA WA MBELE WA GAZETI LA THE EAST AFRICAN TOLEO NAMBA 1158 LA TAREHE 07-13 JANUARI 2017 KUHUSU TTCL KUONGEZEWA MUDA WA KUJIUNGA NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM SIO SAHIHI. TTCL KAMA ZILIVYO KAMPUNI NYINGINE ZA MAWASILIANO, INAWAJIBIKA KUTEKELEZA SHERIA NA MAELEKEZO YA …
Uwanja wa Ndege Mwanza Kukamilika Novemba
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemtaka Mkandarasi anayejenga na kukarabati uwanja wa ndege wa Mwanza Beijing Construction Engineering Group (BCEG), kuhakikisha ujenzi huo unakamilika ifikapo Novemba mwaka huu. Akizungumza mara baada ya kukagua ujenzi wa mnara wa kuongozea ndege, jengo la kuhifadhia mizigo, eneo la kuegeshea ndege na jengo la umeme litakalotoa huduma katika uwanja …
Rais Magufuli Afanya Mazungumzo na Mjumbe wa Rais wa Nigeria
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Profesa Ibrahim Gambari ambaye ni Mjumbe maalum wa Rais wa Nigeria Chato mkoani Geita.
Chuo cha CBE Waibuka Vinara ‘TTCL Inter College Beach Soccer’
Na Mwandishi Wetu CHUO cha Elimu ya Biashara Dar es Salaam (CBE) kimeibuka vinara wa Mashindano ya Mpira wa Miguu wa Ufukweni ‘TTCL Inter College Beach Soccer’ yaliyoshirikisha vyuo mbalimbali vya jijini Dar es Salaam chini ya uratibu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Nchini (TFF) kupitia kocha wa taifa wa mpira huo wa ufukweni nchini. Chuo cha …