TANZANIA itaanza kutumia Mfumo wa Dirisha Moja la Huduma (Electronic Single Window System) ili kuhakikisha inaboresha huduma kwa wafanyabiashara ambao wanaingiza mizigo nchini kwa njia ya bandari, mipaka na viwanja vya ndege, Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imeeleza mpango wa Serikali wa kuanza kutumia mfumo wa Dirisha Moja la Huduma (Electronic Single Window System) ambao kwa hakika utamaliza tatizo …
Makosa ya Watumiaji Barabara Yanavyoatarisha Maisha ya Watumiaji Wengine
Mwendesha bodaboda pamoja na abiria wake akitumia barabara eneo lisilo sahihi jambo ambalo ni hatari kwa watumiaji wengine. Pamoja na hayo dereva huyu na abiria wake hawajavaa kofia ngumu jambo ambalo ni kosa lingine kisheria.
Taasisi za Umma Marufuku Kujenga Vituo Binafsi vya Kuifadhi Data
SERIKALI imezitaka taasisi zake kote kuachana na mpango wa kujenga Vituo binafsi vya vya kuhifadhia kumbukumbu (Data Center) na badala yake kutumia Kituo cha Serikali cha kuhifadhia Data na kumbukumbu (NIDC) chenye uwezo na hadhi ya Kimataifa. Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe Profesa Makame Mbarawa baada …
Jumuiya ya Singh Wasaidia Madawati Jimbo la Chalinze
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete wa tatu kutoka kushoto, akiwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Singh Bwana Kugis wa pili kutoka kulia,pamoja Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo wa kwanza kushoto baada ya kupokea msaada wa madawati kutoka Jumuiya hiyo. Mbunge wa Jimbo la Chalinze akipanda mti kuashiria sherehe ya miaka 350 toka kuzaliwa kwa Guru Sing Sikh. Mkuu wa …
DC Hai Atoa Maelekezo kwa Mkurugenzi Juu ya Watumishi Wabadhilifu
Mkuu wa wilaya ya Hai, Gelasius Byakanwa akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai kuhusu ubadhilifu uliofanyika wakati wa zoezi la utengenezaji wa madawati. Kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Yahana Sintoo. Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai wakiwa katika kikao hicho. Mkuu wa wilaya ya Hai,Gelasius Byakanawa (katikati) akiwa na katibu tawala wa …
Watoto Wafia Kwenye Gari kwa Kukosa Hewa…!
Jeneza lenye mwili wa mtoto huyo likiombewa kabla ya kuingizwa kanisani Wanafunzi wenzake na mtoto huyo wakiwa katika ibada ya kumuaga mwenzao. Padre aliyekuwa akiendesha ibada hiyo akilinyunyuzia mafuta ya baraka jeneza lenye mwili wa mtoto Maria. Msemaji wa familia ya ASP Masala akitoa taarifa na historia fupi ya marehemu Maria. Baba wa marehemu, ASP Masala (wa pili kulia aliyevaa …