HakiElimu yazindua Mpango Mkakati wa Miaka Mitano 2017-2021

  Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Hakielimu, Martha Qorro (kushoto) na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Katarina Rangnitt (wa pili kulia) wakifungua kitambaa kuashiria uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano wa Hakielimu jijini Dar es Salaam. Kulia akishuhudia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu, John Kalage.   Mkurugenzi Mtendaji wa Hakielimu, John Kalage akizungumza na wageni waalikwa …