Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa, Abuu Mjaka akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Namaingo Business Agency Limited, Bi. Ubwa Ibrahim baada ya kuzindua Mradi wa Ufugaji Kuku kwa wanachama 3000 wa kampuni hiyo kutoka mikoa ya Lindi Mtwara na Ruvuma katika hafla iliyofanyika Kijiji cha Miteja, wilayani humo juzi. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya …
Afikishwa Mahakamani kwa Kumjeruhi na Chupa Mkewe
Na Woinde Shizza, ArushaMFANYABIASHARA maarufu wa madini jijini Arusha, Venance Moshi (30) amefikishwa mahakamani na kusomewa maelezo ya awali katika kesi inayomkabili ya kushambulia na kumjeruhi mkewe kwa chupa usoni, wakiwa wanasuluhishwa na baba mkwe, mgogoro wa ndoa yao. Mbele ya hakimu, Devota Msofe wa mahakama ya Wilaya Arusha, mwendesha mashtaka wa serikali, Agnesi Hyera alieleza mahakama hiyo kuwa mnamo marchi 11 mwaka 2016 katika maeneo ya …
Vijana Dodoma Watakiwa Kujiunga na Kulima Zabibu
Mkurugenzi wa Utafiti wa Kilimo na Maendeleo Kanda ya Kati, Leon Mroso (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari wakati walipotembelea shamba la utafiti wa zabibu katika Kituo cha Utafiti wa Kilimo Makutupora mkoani Dodoma. safari kuelekea shamba la zabibu ikiendelea. Mkurugenzi wa Utafiti wa Kilimo na Maendeleo Kanda ya Kati, Leon Mroso (kushoto), akionesha mche wa zabibu uliostawi vizuri. …
Msimu wa Pili Uwezeshaji Wanawake Kupitia Manjano Foundation
MRADI wa Kuwawezesha wanawake Kiuchumi Kupitia Tasnia ya urembo ujulikanao kama Manjano Dream-Makers ulioasisiwa na Taasisi ya Manjano Foundation utaendesha mafunzo ya ujasiriamali kwa wanawake wa Mikoa ya Dar es salaam, Mbeya, Mtwara, Tabora na Kigoma kwa mwaka 2017. Mafunzo hayo yatatolewa kwa Wanawake watakaotuma maombi na watakaochaguliwa katika Mikoa hiyo husika. Baada ya mafunzo hayo wanaweke hao watakuwa chini …
ACT Wazalendo Wazungumzia Polisi Kuvamia Kampeni na Kuzuia Gari
Ndugu Watanzania MAGAZETI kadhaa ya leo yameandika juu ya Taarifa za Kiongozi wa Chama chetu, ndugu Zitto kutafutwa na Jeshi la Polisi huko Kahama kwa sababu ya Uchochezi kutokana na hotuba mbalimbali alizozitoa wakati wa mikutano ya Kampeni Wilayani humo, hasa zilizohusu tishio la baa la njaa nchini. Jeshi la Polisi leo limejitokeza kutoa taarifa ya kujikanganya juu ya suala …
TTCL Tabora Wasaidia Vifaa vya Maabara ya Sayansi Shule za Sekondari
Baadhi ya maafisa wa Kampuni ya Simu Tanzania TTCL katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule za Sekondari ya Tabora Wavulana na Wasichana nje ya Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Tabora baada ya hafla fupi ya TTCL kukabidhi msaada wa vifaa vya Maabara ya Sayansi kwa Shule za Sekondari za mkoa wa Tabora. Meneja wa …