Mkutano ukiendelea. Waandishi wa habari wakiwa kwenye mkutano huo. Mwanahabari Suleiman Msuya akiuliza swali katika mkutano huo. Na Dotto Mwaibale WATANZANIA wameombwa kumuunga mkono Rais Dk. John Magufuli kwa jitohada zake anazozifanya za kuongoza nchi. Mwito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini John Shibuda wakati akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano wa kuuaga …
Asasi za Kiraia Zawasilisha Mapendekezo kwa Wabunge Juu ya Maboresho Sheria ya Usalama Barabarani
*Wataja visababishi vitano vya ajali MTANDAO wa wadau kutoka asasi za kiraia unaotetea marekebisho ya sheria na sera ihusuyo usalama barabarani Tanzania siku ya tarehe 26 na 27 Januari, 2017 wamefanikiwa kukaa na baadhi ya wabunge kutoka kamati ya mambo ya nje, Ulinzi na usalama, Katiba na sheria pamoja na miundo mbinu katika kikao kilichoongozwa chini ya mwenyekiti wake …
Madiwani Manispaa ya Moshi Watoa Zawadi kwa Wagonjwa Mawenzi
Na Dixon Busagaga Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi wakiwasili katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro,Maawenzi wakiwa wamebeba zawadi mbalimbali kwa ajili ya kutoa kwa wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi,wakielekea katika wodi walimolazwa wagonjwa kwa ajili ya kutoa zawadi. Mwenyekiti wa Madiwani wa Chadema na Diwani wa kata ya Kiusa,Stephen Ngasa …
Wakulima,Wafugaji na Wavuvi Kufanya Shughuli zao Kitaalam
Asasi ya kusaidia sekta binafsi ya kilimo (PASS) imewataka wakulima na wajasiriamali wote wa kilimo ,uvuvi na wafugaji wafikirie namna ya shughuli zao kitaalam. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa asasi hiyo Nicomed Bohai ya kwamba wakulima wafikirie kufanya shughuli zao kibiashara,watafute elimu na maarifa ili waweze kudhaminiwa kupata mkopo wa kuendeleza shughuli zao. Amesema kuwa wanajenga mahusiano ya kibiashara …
Marufuku Miradi Chini ya Viwango -RC Nchimbi
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi amefanya ziara ya kikazi Wilaya ya Mkalama na kuagiza watendaji kusimamia miradi kwa umakini kwakuwa hataki kusikia mradi wowote uko chini ya kiwango. Dk. Nchimbi amesema kuwa watendaji wamekuwa wakiilalamikia serikali na kuirudisha nyuma kwa kutotekeleza majukumu yao ipasavyo na hivyo kupelekea wananchi kuona serikali haifanyi chochote wakati inaleta pesa nyingi za …
Serikali Kutumbua Wahujumu wa TAZARA
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali haitamvumilia mtumishi yoyote ambaye ataendelea kuisababishia hasara Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) kwa kuendelea kuihujumu na kusababisha mamlaka kujiendesha kwa hasara. Profesa Mbarawa ameyasema hayo leo wakati alipotembelea Tazara, kuangalia utendaji ambapo amebaini matumizi mabaya ya fedha zinazotolewa na Serikali na kuahidi kuchukua hatua stahiki. “Ninafahamu …