RC Atoa Siku 14 Kuondolewa Wavamizi Maeneo ya Mlima Mbeya

Na Emanuel Madafa, Mbeya MKUU wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla ametoa siku 14  kwa Halmashauri zote za Mkoa wa Mbeya kuhakikisha inawaondoa watu wote waliovamia maeneo ya hifadhi za misitu pamoja na hifadhi ya misitu ya Mlima Mbeya. Aidha amesema agizo hilo pia liendane na suala la kudhibiti shughuli zote za kibinadamu kando kando ya mita 60  kwa kufuata sheria ya mita 60. Mkuu …

Katibu Mkuu Kilimo Atoa Hofu Watumishi Kuhamia Dodoma

  KATIBU Mkuu wa Wizara ya Kilimo Mifugo na Uvuvi Mhandisi Mathew John Mtigumwe hii leo amewaondoa hofu watumishi wa wizara yake kuhusu zoezi la serikali kuhamia Dodoma kuwa litafuata misingi na stahili za watumishi kwa mujibu wa kanuni za utumishi wa Umma. Mhandisi Mtigumwe ametoa kauli hiyo wakati wa kikao maalumu cha kuhusiana na uamuzi wa serikali kuhamia Makao …

Halmashauri ya Monduli na Kashfa ya Ugawaji Ardhi, Wananchi Waja Juu

  Akinamama wa kijiji cha Lendikinya wakiwa wamekaa kwa huzuni katika mkutano wa hadhara MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Wilaya ya Monduli mkoani Arusha, Loota Sanare akiongea katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Lendikiny.   Mwana kijiji Amina Longitoti akiwa anatoa kero yake katika mkutano huo.   Habari/Picha na Woinde Shizza, Arusha BADHI ya wananchi wa …

Wabunge wa uzazi salama wataka bajeti ya afya ya uzazi na mtoto kuboreshwa

    WABUNGE wa kundi la uzazi salama wametakiwa kuhamasisha na kutetea Bajeti ya Afya ya Uzazi na Mtoto ili ipewe kipaumbele katika mipango ya Halmashauri kwa mwaka 2017/2018. Hamasa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa Kundi la Wabunge wa Uzazi Salama, Mh. Jenista Mhagama wakati akifungua mkutano uliowakutanisha wabunge wa kundi hilo wapatao 30 pamoja na Muungano wa Utepe Mweupe …