Mahakama Zamkera JPM, ni Kuhusu Kesi za Ukwepaji wa Kodi

Mahakama Zamkera JPM, ni Kuhusu Kesi za Ukwepaji wa Kodi RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameelezea kusikitishwa kwake na namna Mahakama inavyoshughulikia kesi zinazohusiana na ukwepaji wa kodi na ametoa wito kwa mahakama na wadau wake kujipanga kukabiliana na dosari hiyo inayorudisha nyuma juhudi za maendeleo ya nchi. Mhe. Rais Magufuli ametoa kauli …

Madaktari Bingwa Tiba ya Mifupa Watoa Elimu Namna ya Kuhudumia Majeruhi

  Madaktari mbalimbali wakifuatilia mafunzo hayo kwa makini. Madaktari wa Tiba ya Mifupa wakishiriki mafunzo hayo. Kutoka kushoto ni Dk. Hamid Masoud, Dk. Valentine Restus na Dk. Joseph Msemwa.   Na Dotto Mwaibale   UMOJA wa Madaktari Bingwa wa Mifupa Duniani (SICOT) ikishirikiana na Wakala ya Mafunzo kwa Njia ya Mtandao (TaGLA), umetoa elimu ya namna ya kutoa huduma kwa majeruhi wa …

Ofisi ya Msajili Vyama Vya Siasa Aipa CUF Ruzuku ya 369,366,671/-

Meza Kuu. Kutoka kulia ni Kamanda Mkuu, Athumani Hamadi,Mkurugenzi wa Mipango na Uchaguzi, Mneke Jafar, Mkurugenzi wa Fedha na Uchumi (Taifa) wa Chama cha Wananchi (CUF), Thomas D.C Malima, Katibu Jumuiya ya Wanawake (JUKE), Salama Masoud na Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa, Masha Amour. Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.  Mkutano ukiendelea.   TAARIFA KWA UMMA  …