Ujenzi wa Reli ya Kisasa Dar – Moro Kuanza Mwezi Machi, 2017

  SERIKALI imetiliana saini ya makubaliano ya ujenzi wa sehemu ya kipande cha reli ya kisasa (Standard Gauge), chenye urefu wa KM 300 kati ya mkoa wa Dar es Salaam na Morogoro ambao ujenzi wake unatarajiwa kuanza baada ya mwezi mmoja na nusu kutoka sasa. Kampuni zilizotiliana saini makubaliano hayo na Serikali ni ya ubia kati ya YAPI MERKEZI ya …

LSF Yatoa Msaada wa Laptop kwa Wasaidizi wa Kisheria

                MFUKO wa Fedha za Msaada wa Kisheria (LSF) umekabidhi laptop 170 kwa asasi mbalimbali zinazotoa msaada wa kisheria kwa wananchi wahitaji katika mikoa anuai nchini Tanzania. Akizungumza kabla ya kukabidhi vitendea kazi hivyo kwa wawakilishi  wa mikoa wa mashirika washauri wa msaada wa wa kisheria, Mjumbe wa Bodi ya LSF, Dk. Benson …

Timu ya Wanahabari Iringa Yapigwa Tafu na Mbunge

Mbunge  wa  viti  maalum  mkoa wa  Iringa Ritta Kabati (CCM) akimkabidhi mwenyekiti wa waandishi wa habari mkoani Iringa moja ya jezi alizotoa kwa waandishi wa habari kwa ajili ya mechi mbalimbali za timu hiyo. Na Fredy Mgunda, Iringa   MBUNGE  wa  viti  maalum  Mkoa wa  Iringa Ritta Kabati (CCM) ameipiga jeki timu ya wandishi wa habari mkoa wa Iringa kwa kuwapatia jezi seti …

Wanausalama wa Prof Lipumba Wawapiga Mkwala ‘Wafuasi’ wa Seif

Wafuasi wa chama hicho wakiwa kwenye mkutano huo. TAARIFA KWA UMMAWaandishi wa Habari, nimewaiteni hapa leo kwa ajili ya kuwapa Taarifa za hujuma zinazopangwa kufanywa dhidi ya chama chetu. Kama mnavyofahamu kwamba,Chama chetu kiko katika sintofahamu ya Mgogoro wa Kiuongozi.Hata hivyo pampja na hali hiyo kuwepo, tunaimani kwamba,sintofahamu hii ya Kiuongozi tutaumaliza wana CUF wenyewe. Mara nyingi huwa siyo kawaida yangu …

Rais Magufuli Amteuwa Jenerali Venance Mabeyo Mkuu wa Majeshi Tanzania

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli, leo Tarehe 02 Februari, 2017 amemteua Luteni Jenerali Venance S. Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania. Pamoja na kuteuliwa kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Luteni Jenerali Venance S. Mabeyo amepandishwa cheo na kuwa Jenerali. Jenerali Venance S. Mabeyo anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jenerali …

Mwongozo Mpango wa Ujenzi wa Barabara Wazinduliwa

  SERIKALI imezindua mwongozo wa mpango na usanifu wa ujenzi wa barabara zinazopitisha magari machache kwa lengo la kutoa maelekezo na kuwawezesha wahandisi wanaofanya usanifu wa barabara hizo kutumia gharama nafuu za ujenzi. Akizungumza katika uzinduzi huo leo jijini Dar es salaam Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Eng. Joseph Nyamhanga amesema kuwa mwongozo …