Profesa Nicholls Boas wa Chuo Kikuu Maryland Marekani akiwa miongoni mwa wadau Watanzania waishio Marekani akifurahia jambo wakati wa Siku Maalum ya Kuwezesha Kampeni ya Kuinua Maadili Kitaifa iliyofanyika Katika ukumbi wa Quality One Care, Maryland Marekani. Baadhi ya wadau wa Kampeni ya Kuinua Maadili Kitaifa kutoka maeneo mbalimbali nchini Marekani wakifuatilia kwa makini Maudhui ya Siku Maalum ya Kuwezesha …
Ugomvi wa FA na Bunge la Uingereza Lafikia Pabaya
Hofu imeanza kutanda kwa mashabiki wa soka nchini humo jambo hili linaweza kuwatoa Uingereza katika michuano ijayo ya kombe la dunia nchini Russia ,Endapo bunge litapiga kura wiki ijayo basi itaiweka Uingereza katika hali ya sintofahamu juu ya ushiriki wao katika kombe la dunia la mwaka 2018. Mgogoro kati ya bunge la Uingereza na FA unakuja baada ya baadhi ya …
Vyama vya Siasa Vyatakiwa Kutoa Fursa za Uongozi kwa Wanawake
BAADHI ya madiwani, watendaji na wenyeviti wa Serikali za mitaa kutoka Wilaya Tatu za Mkoa wa Dar es Salaam yaani Temeke, Ilala na Kinondoni wameviomba vyama vya siasa kutoa fursa za uongozi kwa wanawake ili waongezeke katika nafasi za uongozi ngazi mbalimbali. Ombi hilo limetolewa na viongozi hao katika maoni yao walipokuwa katika semina …
Mradi wa Africa Rising Kuzuia Upotevu wa Mazao
Na; Ferdinand Shayo, Morogoro. Asilimia 20 mpaka 40 ya mazao yanayovunwa na wakulima hasa mahindi hupotea kuanzia kipindi cha uvunaji mpaka kuhifadhi. kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo mbinu hafifu za uhifadhi wa mazao hayo. Mazao ya Wakulima huanza kupotea yakiwa shambani kipindi cha uvunaji,usafirishaji ,kuanika na kuhifadhi. Wakulima wengi wamekuwa wakitumia mbinu duni za kuhifadhi mazao yao na kujikuta …
Hospitali ya Kairuki Yatoa Huduma za Macho Bure
Daktari Bingwa wa magonjwa ya macho Dk. Mustafa Yusufali akimpima macho, Alphonce Joseph mmoja wa wagonjwa waliofika katika Hospitali ya Kairuki Mikocheni jijini Dar es Salaam, ikiwa sehemu ya maadhimisho ya 18 ya Kumbukizi ya Hayati Prof. Hubert Kairuki, ambapo upimaji wa awali wa afya ya macho umefanyika kuanzia Februari 3-4 kwa gharama za hospitali hiyo pamoja na utoaji wa …
Angalia Magari Manne Yalivyogongana na Kusababisha Majeruhi
Wananchi wakimuangalia dereva wa teksi aliyejeruhiwa baada ya gari lake lenye namba za usajili T 625 AWS kugongana na gari dogo lenye namba za usajili T 214 CFX wakati likiingia barabara ya Nyerere likitokea Jengo la Kibiashara la Quality Centre Dar es Salaam. Wananchi wakiangalia ajali hiyo. Wananchi wakiangalia gari dogo aina ya Toyota Corolla lenye namba T 214 …