Wizara ya Fedha Yatekeleza Agizo la Magufuli, Yamlipa Mkandarasi Terminal 3

  KATIBU Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Doto James akizungumza na Wanahabari kuhusu Wizara yake ilivyotekeleza Agizo la Rais Dkt. John Magufu kuhusu kumlipa Mkandarasi anayejenga Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 3). Kwa mujibu wa Katibu Mkuu Doto James, Wizara ya Fedha na Mipango imemlipa Mkandarasi anayejenga Mradi wa upanuzi wa Uwanja wa Ndege …

Mashindano Kombe la Standard Chartered 2017 Awamu ya Pili Yazinduliwa

  Mgeni rasmi Mwenyekiti wa Baraza la Michezo nchini (BMT) Bw. Dionis Malinzi (katikati) akiwa ameambatana na Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered, Bw. Sanjay Rughani (kulia) pamoja na Mkuu wa Mahusiano wa Benki ya Standard Chartered, Juanita Mramba wakiwasili kwenye sherehe za uzinduzi wa awamu ya pili ya mashindano ya Kombe la Standard Chartered 2017, barabara ya kuelekea Anfield …

Burudani za Tamasha la Busara Zanzibar Zaanza Katika Viwanja vya Mnara

  Wasanii wa Kikundi cha Utamaduni kutoka Nchini Burundi wakitowa burudani kwa Wananchi wa Zanzibar katika viwanja vya Mnara wa Kumbukumbu ya Mapinduzi Michezani Zanzibar kabla ya kuaza kwa maandamano ya Uzinduzi huo yalioazia katika viwanja hivyo hadi katika viwanja vya bustani ya forodhani. Wasanii kutoka burundi wakionesha umahiri wao wa kupiga ngoma za utamaduni wa Kwao.      Wananchi …

TCRA Yapiga Marufuku TV za Mitandaoni…!

Na Sultani Kipingo MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imezuia mtu yeyote kuendesha huduma za TV Mtandao nchini hadi hapo itakapoweka utaratibu wa kusajili huduma hizo. Kwa taarifa hizo imewataka waendeshaji wa huduma hizo wakiwemo Michuzi TV, AYO TV na Global TV kusitisha huduma zao za TV mtandao hadi hapo kanuni za usajili rasmi ambazo mamlaka hiyo imesema inaandaa kwa huduma hizo. Barua hiyo, …

Prof Mbarawa Apangua Ujenzi Terminal III, Mtumbua Meneja TAA

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa ameteua timu mpya ya wataalamu saba kwa ajili ya kusimamia mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria (Terminal III), katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere. Hatua hiyo imefikiwa kufuatia agizo la Mheshimiwa Rais John Magufuli alilolitoa jana wakati alipofanya ziara ya kushtukiza uwanjani …

Baraza la Viongozi wa Dini Wamuunga Mkono RC Makonda

   Mwenyekiti wa Baraza la Viongozi wa Dini la Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania, Sheikh Alhad Mussa Salum.    Baadhi ya viongozi wa dini (waliokaa), wakiwa kwenye mkutano huo. Wengine ni wanahabari. Mkutano na wanahabari ukiendelea.     Na Dotto Mwaibale   BARAZA la Viongozi wa dini la kupambana na dawa za kulevya Tanzania ambalo liko chini ya Tume …