
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Profesa Ruth Meena akijibu maswali ya wahariri mbalimbali katika mkutano wa TGNP na wahariri hao uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Mmoja wa wahariri kutoka vyombo vya habari vinavyomilikiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) akichangia mada katika mkutano wa TGNP na wahariri wa habari.

Baadhi ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Profesa Ruth Meena pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP, Mary Nsemwa

Deo Temba (kushoto) mmoja wa maofisa kutoka Idara ya Habari ya TGNP akiendelea na majukumu katika mkutano huo.