Uholanzi watu wengi wanapenda kuendesha baiskeli kuliko kuendesha magari, sio kwamba hawana uwezo kununua magari bali wanajali afya zao zaidi na wanataka kuwa “fit”.
Continue Reading....Category: Vitimbwi Ulimwenguni
VIDEO: WATOTO WAOANA HUKO DODOMA!
Hii imetokea huko Mkoani Dodoma ambao watoto walifungishwa ndoa, huku familia zao zikifurahi na kula pilau. Unaweza usiamini, lakini kipindi cha Wanawake Live kilishuhudia LIVE…
Continue Reading....Daraja huko Norway
Hili Daraja lipo Norway na ukiliangalia kwa upande mmoja unaweza ukafikiri magari yanapotelea hewani…
Continue Reading....