Majengo ya Jiji la Dubai

Dubai ni jiji ndani ya United Arab Emirates, mji huu unajulikana sana kwa majengo yake marefu na ya kisasa. Leo nimekuletea picha za majengo mbali mbali ya jiji la dubai.

Angalia Stephen Fry Anavyomjaribu Mungu

Bonyeza hapa uangalie video ya mchekeshaji maarufu wa nchini Uingereza Stephen Fry akijibu swali baada ya kuulizwa kuwa atamwambia nini Mungu siku akifa na kugundua kweli Mungu yupo?

Huwezi Kuamini Macho Yako Ukiona hizi picha..

Hii dunia, huko tunakoelekea sijui itakuwaje. Huwezi amini ukiangalia hizi picha, hawa ni wanaume waliojigeuza kuwa wanawake na wanawake waliojigeuza kuwa wanaume. Picha hizi zimepigwa kule Cuba na mpiga picha Claudia Gonzalez (Chanzo: http://claudiagonzalez.4ormat.com/personalwork#7)

Vituko Duniani, Kuna Mpaka Smart Belt

Katika pitapita zangu mjini hasa mida ya lunch nimeshuhudia akina baba wakisogeza fundo la mkanda baada ya lunch. Na sio wakati wa kula tu, hata baada ya kupata chupa kadhaa za bia jioni, utaiona midingi ikiongeza size ya mikanda. Kama kawaida kazi ya teknolojia ni kurahisisha maisha ya watu, Smart belt zimevumbuliwa hasa kwa watu wanaohangaika kubadilisha tundu la kufungia …