Angalia video ya watoto mapacha, wakikutana kwa mara ya kwanza punde tu baada ya kuzaliwa. Video imepigwa na mfanyakazi wa GoPro Lonie Paxton.
Continue Reading....Category: Vitimbwi Ulimwenguni
Majengo ya Jiji la Dubai
Dubai ni jiji ndani ya United Arab Emirates, mji huu unajulikana sana kwa majengo yake marefu na ya kisasa. Leo nimekuletea picha za majengo mbali…
Continue Reading....Angalia Stephen Fry Anavyomjaribu Mungu
Bonyeza hapa uangalie video ya mchekeshaji maarufu wa nchini Uingereza Stephen Fry akijibu swali baada ya kuulizwa kuwa atamwambia nini Mungu siku akifa na kugundua…
Continue Reading....Huwezi Kuamini Macho Yako Ukiona hizi picha..
Hii dunia, huko tunakoelekea sijui itakuwaje. Huwezi amini ukiangalia hizi picha, hawa ni wanaume waliojigeuza kuwa wanawake na wanawake waliojigeuza kuwa wanaume. Picha hizi zimepigwa…
Continue Reading....Vituko Duniani, Kuna Mpaka Smart Belt
Katika pitapita zangu mjini hasa mida ya lunch nimeshuhudia akina baba wakisogeza fundo la mkanda baada ya lunch. Na sio wakati wa kula tu, hata…
Continue Reading....