JK ataka Mahakama ianze kutoa adhabu mbadala
Na Joachim Mushi RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema kutolewa kwa adhabu mbadala na mahakama kutapunguza msongamano mkubwa wa wafungwa gerezani, hivyo kuishauri taasisi hiyo nyeti ya sheria kuanza kufikiria adhabu mbadala kwa wahalifu. Rais Kikwete ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akizungumza katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Tanzania iliyofanyika katika viwanja vya Mahakama …
Rais Kikwete akutana na Baraza la NGO’s taifa
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wa Asasi Zisizokuwa za Kiserikali (AZISE) wamekutana Februari 3, 2012, Ikulu, Dar es Salaam, kuzungumzia mapendekezo ya Asasi hizo kuhusu jinsi ya kuboresha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba Nambari 8 ya Mwaka 2011. Ujumbe huo wa watu 17 na ulioongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la AZISE, …