JK awapa wamachinga milioni 10 Mwanza, amtembelea Mwita Kyaro

Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewachangia wachuuzi wadogo wadogo wa mitaani (Wamachinga) wa mjini Mwanza sh. milioni 10, ili kuongeza nguvu katika mfuko wa kukopeshana wa wachuuzi hao. Rais Kikwete ametoa uamuzi wa kuchangia mfuko huo wa uwezeshaji wa Wamachinga hao baada ya kusikiliza maelezo ya shughuli zao na jitihada zao za …