Serikali yawataka wakaguzi wa miradi kuwa makini
Na Tiganya Vincent, MAELEZO-Dar es Salaam SERIKALI imewaagiza wakaguzi wa ndani wa Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha hesabu za miradi ya maendeleo katika maeneo yao ya kazi inakaguliwa sawia ikiwa ni pamoja kujiridhisha kuwa inalingana na thamani ya fedha iliyotumika katika matumizi ya mradi husika. Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Katibu …