Rais Jakaya Kikwete atuwa Gaberone, Botswana
Na Mwandishi Maalumu RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amekipongeza Chama Tawala cha Botswana, Botswana Democratic Party (BDP) kwa mafanikio yaliyopatikana nchini Botswana na watu wake. Rais Kikwete ametoa pongezi hizo katika Sherehe za Kuadhimisha Miaka Hamsini (50) ya Chama cha BDP katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Botswana. “Katika miaka hamsini ya uhai wake, BDP kimefanya mambo mengi mazuri nchini Botswana, …