Kilimanjaro Marathoni zazidi kuongeza washiriki

Na Mwandishi Wetu MBIO za kujifurahisha za kilometa 5 za (Vodacom 5KM fun run) ambazo ni sehemu ya mbio za Kilimanjaro Marathoni zimezidi kujizolea umaarufu na watu wengi rika tofauti kujitokeza kushiriki kwenye mashindano hayo yaliyofanyika juzi mjini Moshi mkoani Kilimanjaro. Kwa mujibu wa Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania ambao ndio wadhamini …