Taa hizi ni mapambo bandia ya Jiji la Dar es Salaam?

Jamani hizi taa za barabarani kila uchao zinatengenezwa hasa za katikati ya Jiji la Dar es Salaam, lakini cha ajabu haziwaki nyakati za usiku maeneo mengi ya jiji sijui ni feki. Thehabari imewanasa wataalamu hawa kutoka kitengo cha ufundi Wizara ya Ujenzi wakifanya ukarabati taa za eneo la makutano ya Barabara ya Sekilango na Morogoro jana. Kuna haja ya kitengo …

Talgwu wahairisha maandamano ya wafanyakazi

Katibu Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) Sudi Madega (katikati) akitoa tamko leo jijini Dar es Salaam la kusitishwa kwa maandamano ya amani kuelekea Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa yaliyotakiwa kufanyika Machi 3, 2012. Wengine katika picha ni Ofisa Habari na Uhusiano wa Kitaifa (TALGWU), Shani Kibwasali (kulia) na …