Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 91

Category: Michezo

Jinsi Twiga Stars Walivyowafuata Wazimbabwe

Posted on: March 19, 2016 - Yohana Chance
Jinsi Twiga Stars Walivyowafuata Wazimbabwe

Msafara wa watu 25 wa timu ya Taifa ya Wanawake ya mpira wa miguu “Twiga Stars” unatarajiwa kuondoka jana majira ya saa 4 usiku kuelekea…

Continue Reading....

Waamuzi Tanzania Waula CAF

Posted on: March 19, 2016 - Yohana Chance
Waamuzi Tanzania Waula CAF

Shirikisho la Mpira wa Miguu barani Afrika (CAF) limetoa orodha ya waamuzi watakaochezesha na kusimamia michezo ya Kombe la Shirikisho Afrika (CC), kuwania kufuzu kwa…

Continue Reading....

Rais wa FIFA Infantino Aanza Kuona Matumaini Mapya

Posted on: March 19, 2016 - Yohana Chance
Rais wa FIFA Infantino Aanza Kuona Matumaini Mapya

Rais wa FIFA Gianni Infatino amesema kuwa tayari kumeanza kuonekana dalili za mabadiliko katika shirikisho hilo la kandanda ambalo katika siku za hivi karibuni lilikuwa…

Continue Reading....

Mashabiki Waziponza Manchester United na Liverpool

Posted on: March 19, 2016 - Yohana Chance
Mashabiki  Waziponza Manchester United na Liverpool

Klabu za Manchester United na Liverpool zimeshtakiwa na Uefa kufuatia fujo za mashabiki wakati wa mechi ya marudiano ya Europa League iliyochezwa Alhamisi. Klabu hizo…

Continue Reading....

PSG Kuikabili Man City, Barca vita Dhidi ya Atletico UEFA

Posted on: March 19, 2016 - Yohana Chance
PSG Kuikabili Man City, Barca vita Dhidi ya Atletico UEFA

Klabu ya Manchester City imepewa miamba wa Ufaransa Paris Saint Germain kwenye robofanali ya Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya droo kufanywa mjini Nyon,…

Continue Reading....

Kloop Arejeshwa Ujerumani kwa Lazima

Posted on: March 19, 2016March 19, 2016 - Yohana Chance
Kloop Arejeshwa Ujerumani kwa Lazima

Kocha wa kilabu ya Liverpool Jurgen Klopp atakutana na timu yake ya zamani Borussia Dortmund katika robofanili ya kombe la Europa. Klopp mwenye umri wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari