Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 9

Category: Michezo

Aliyekuwa Kocha wa Italia Apewa Timu ya Taifa ya China

Posted on: October 22, 2016 - Yohana Chance
Aliyekuwa Kocha wa Italia Apewa Timu ya Taifa ya China

Marcello Lippi aliyeshinda kombe la dunia mnamo mwaka 2006 na timu ya taifa ya Italia – amerudi katika soka baadaya kustaafau na sasa ndiye mkufunzi…

Continue Reading....

Yanga Hii sasa Sifa, Kagera Wapigwa Sita

Posted on: October 22, 2016October 22, 2016 - Yohana Chance
Yanga Hii sasa Sifa, Kagera Wapigwa Sita

YANGA wameanza rasmi mbio za kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara – baada ya leo kuwatandika wenyeji Kagera Sugar mabao 6-2 katika…

Continue Reading....

Arsenal, Spurs Wabanwa Mbavu Ligi Kuu Uingereza

Posted on: October 22, 2016 - Yohana Chance
Arsenal, Spurs Wabanwa Mbavu Ligi Kuu Uingereza

Tottenham imekosa nafasi ya kusogea juu katika orodha ya Premier League – angalau kwa saa kadhaa – baada ya kuzuiwa kwa sare ya 0-0 kwa…

Continue Reading....

Stewart Hall Apata Bonge la Dili Nchini Kenya

Posted on: October 19, 2016 - Yohana Chance
Stewart Hall Apata Bonge la Dili Nchini Kenya

Klabu ya AFC Leopards imetangaza kumsaini kocha wa zamani wa Azam FC Stewart Hall kwa mkataba wa miaka miwili kama kocha mkuu mpya wa klabu…

Continue Reading....

Yanga Yang’ara, Azam Wabaniwa Tena

Posted on: October 19, 2016October 19, 2016 - Yohana Chance
Yanga Yang’ara, Azam Wabaniwa Tena

YANGA SC imejiimarisha kidogo kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya wenyeji, Toto…

Continue Reading....

FA Yamtaka Mourinho Kujieleza

Posted on: October 19, 2016 - Yohana Chance
FA Yamtaka Mourinho Kujieleza

Shirikisho la Soka England (FA) limemwandikia barua Meneja wa Manchester United Jose Mourinho likimtaka ajieleze kuhusu matamshi yake juu ya mwamuzi Anthony Taylor ambaye Jumatatu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari