Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 87

Category: Michezo

TFF Yatupa Rungu KRFA, Kuondoa Majibu

Posted on: March 27, 2016 - Yohana Chance
TFF Yatupa Rungu KRFA, Kuondoa Majibu

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limekiagiza Chama cha Mpira wa Miguu mkoa wa Katavi (KRFA) kufanya uchunguzi juu ya matokeo ya kumpata bingwa…

Continue Reading....

Tiketi Mchezo wa Taifa Stars na Chad Zimeanza Kuuzwa

Posted on: March 27, 2016 - Yohana Chance
Tiketi Mchezo wa Taifa Stars na Chad Zimeanza Kuuzwa

Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kesho inashuka dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam…

Continue Reading....

Wanariadha Wala Sabuni Eti Wakizani Chakula

Posted on: March 27, 2016 - Yohana Chance
Wanariadha Wala Sabuni Eti Wakizani Chakula

Wanariadha waliokuwa wanakimbia mbio ndefu za marathon walijipata wamekula sabuni baada ya kudhania kwamba zilikuwa chakula kutokana na kukosa kuelewa lugha ya kiingereza. Takriban wanariadha…

Continue Reading....

Taifa Stars Kulejea Leo, Baada ya Kuilaza Chad

Posted on: March 24, 2016 - Yohana Chance
Taifa Stars Kulejea Leo, Baada ya Kuilaza Chad

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, kinatarajiwa kuwasili leo saa 8 usiku katika uwanja wa…

Continue Reading....

The Black Stars Kibaruani Leo Dhidi ya Mambas

Posted on: March 24, 2016 - Yohana Chance
The Black Stars Kibaruani Leo Dhidi ya Mambas

Michezo ya kusaka tiketi ya kushiki michuano ya kombe la mataifa ya afrikamwaka 2017 itayofanyika Gabon itaendelea tena leo Katika kundi A timu ya taifa…

Continue Reading....

Yanga Kuanza Maandalizi Mapema ya Kuwavaa Waarabu

Posted on: March 24, 2016 - Yohana Chance
Yanga Kuanza Maandalizi Mapema ya Kuwavaa Waarabu

Kocha mkuu wa klabu ya Yanga Hans van der Pluijm, amesema atahakikisha wanafanya maandalizi mazuri kuweza kuikabili timu ya Al Ahly ya Misri katika mchezo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari