Kocha wa kilabu ya Aston Villa Remi Garde ameondoka katika kilabu hiyo kupitia maelewano baada ya kukinoa kikosi hicho kwa siku 147 katika kilabu hiyo…
Continue Reading....Category: Michezo
Yanga, Azam Kusaka Tiketi ya Nusu Fainali Kesho Kombe la Shirikisho
Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) linatarajiwa kuendelea kesho Alhamisi kwa michezo miwili kuchezwa katika hatua ya robo fainali ya michuano hiyo. Azam FC…
Continue Reading....Serengeti Boys Kuitolea Uvivu Wamisri
Kikosi cha Serengeti Boys kinachonolewa na makocha Bakari Shime na Sebastian Mkomwa wakishauriwa na Jan Poulsen, kimeendelea na mazoezi katika uwanja wa Karume, zilipo ofisi…
Continue Reading....Uwanja wa Camp Nou Kubadilishwa Jina
Kumetokea mgawanyiko wa maoni katika klabu ya Barcelona kuhusu wazo la kuupa uwanja wao unaotarajiwa kufanyiwa marekebisho makubwa wa Camp Nou, jina la nahodha wa…
Continue Reading....Kambi ya Stars Yavunjwa Baada ya Chad Kujitoa
TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imevunja kambi na wachezaji wameruhusiwa kurejea kwenye klabu zao. Tanzania ilikuwa icheze na Chad kesho Uwanja…
Continue Reading....Mourinho Aanza Kazi Manchester United Kabla ya Kukabidhiwa Timu
Meneja wa zamani wa Chelsea, Jose Mourinho anadaiwa kuanza kujipanga na Manchester United kama atachukua nafasi ya Louis van Gaal. Kwa mujibu wa jarida la…
Continue Reading....