Kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kitaendelea kesho Jumamosi saa 3 asubuhi katika ofisi za TFF zilizopo Karume,…
Continue Reading....Category: Michezo
Diego Costa Karikologa Tena, Apigwa Faini
Mshambuliaji wa klabu ya Chelsea Diego Costa ameongezewa adhabu ya mechi ambazo hataruhusiwa kucheza pamoja na kutozwa faini zaidi kwa sababu ya utovu wa nidhamu.…
Continue Reading....Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza Wiki hii na Msimamo Soma hapa
Ligi Kuu ya Uingereza itarejelewa wikendi hii baada ya mapumziko ya mechi za kimataifa Jumamosi kukiwa kumeratibiwa mechi nane. Aston Villa watatanguliza kwa kuwakaribisha Chelsea…
Continue Reading....Kuicheki Serengeti Boys ni Buku Mbili tu dhidi ya Misri
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kiingilio cha shilingi elfu mbili tu (2,000) ndio kitakachotumika katika mchezo wa kesho Jumamosi kati ya Serengeti…
Continue Reading....Ferguson Aitabilia Leicester City Kuwa Mabingwa
Meneja wa zamani wa Man United, Sir Alex Ferguson anaamini Leicester City wanastahili kutawazwa mabingwa wa Ligi Kuu msimu huu. Leicester wamekuwa na msimu mzuri…
Continue Reading....Eboue Atiwa Kitanzini Mwaka Mmoja na FIFA
Mchezaji wa zamani wa Arsenal ambaye amekaa kwa muda wa siku 22 kwenye timu yake ya Sunderland na kufukuzwa kazi. Eboue aliweka mezan mkataba wa…
Continue Reading....