Klabu ya Yanga imefanikiwa Kuibuka na Ushindi na kujiweka katika mazingira mazuri ya kutetea ubingwa wake wa Ligi Kuu Tanzania Bara Baada ya kuilaza Kagera…
Continue Reading....Category: Michezo
Manchester United Wailaza Everton
Manchester United Imefanikiwa kuibuka na ushindi dhidi ya Everto katika Mwendelezo wa Ligi kuu kwa ushindi wa bao 1-0 lililofugwa dakika ya 54 na Martial
Continue Reading....kashfa ya Matumizi ya Madawa Yatua Ligi Kuu ya Uingereza
Serikali ya Uingereza imeanzisha uchunguzi wa dharura kufuatia ufichuzi kuwa wachezaji nyota wa kandanda nchini Uingereza wamekuwa wakitumia madawa yaliyopigwa marufuku ya kuongeza nguvu mwilini.…
Continue Reading....Ratiba Ligi Kuu Tanzania Bara Yabadilika
Mchezo kati ya Young African dhidi ya Mtibwa Sugar uliokuwa uchezwe Jumatano ya April 6, 2016 umesogezwa mbele na sasa utachezwa tarehe 16 Aprili 2016…
Continue Reading....TFF Yatembeza Rungu kwa Wapanga Matokeo, Yaliyowakuta Wengine……..
Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya Makamu Mwenyekiti Wakili, Jerome Msemwa leo imetoa maamuzi ya shauri la upangaji…
Continue Reading....Duuu Mashabiki wa Leicester City Wapewa Pombe
Mashabiki wa vinara wa ligi kuu ya Uingereza Leicester City walioingia uwanjani hivi leo kuishabikia dhidi ya Southampton walipewa kopo la pombe au Kitumbua mlangoni.…
Continue Reading....