Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo
  • Page 79

Category: Michezo

Imetua Hadi kwa Viongozi wa TFF

Posted on: April 7, 2016 - Yohana Chance
Imetua Hadi  kwa Viongozi wa TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesikitishwa na taarifa zilizosambaa katika mitandao kuanzia jana zikiwahusisha viongozi wa timu moja ya daraja la kwanza na…

Continue Reading....

Mtaka Apata Shavu Shirikisho la Riadha la Dunia

Posted on: April 6, 2016 - Yohana Chance
Mtaka Apata Shavu Shirikisho la Riadha la Dunia

Mchezo wa Riadha Duniani (IAAF) limemteua Rais wa Shirikisho la Riadha nchini (RT) Anthony Mtaka kuwa miongoni mwa wajumbe wanaounda kundi la ushauri wa mikakati…

Continue Reading....

Wababe Wa Yanga Kutoka Misri Watua Kimya Kimya

Posted on: April 6, 2016 - Yohana Chance
Wababe Wa Yanga Kutoka Misri Watua Kimya Kimya

Wapinzani wa Timu ya Yanga Katika Ligi ya Mabingwa Afrika Timu ya Al Ahly ya Misri imewasili Tanzania alfajiri ya leo katika uwanja wa ndege…

Continue Reading....

Bosi TFF Abwaga Manyanga

Posted on: April 6, 2016 - Yohana Chance
Bosi TFF Abwaga Manyanga

Kaimu Mkurugenzi wa Mashindano wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Martin Chacha amejiuzulu nafasi yake katika utumishi wa TFF kuanzia jana tarehe 5…

Continue Reading....

Kilichomkuta Gonzalo Higuain Balaa Tupu

Posted on: April 6, 2016 - Yohana Chance
Kilichomkuta Gonzalo Higuain Balaa Tupu

Mshambuliaji wa klabu ya Napoli Gonzalo Higuain amefungiwa mechi 4 kwa kosa la kumsukuma mwamuzi katika mchezo dhidi ya Udinese uliofanyika jumamosi iliyopita. Mbali ya…

Continue Reading....

Suarez Aibeba Barcelona Nou Camp, Man City Kibaruani Leo

Posted on: April 6, 2016 - Yohana Chance
Suarez Aibeba Barcelona Nou Camp, Man City Kibaruani Leo

Timu za Barcelona na Bayern Munich zimeanza vizuri michezo yao ya kwanza ya hatua ya robo fainali ya klabu bingwa ulaya. Barcelona, wakicheza katika uwanja…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari